Hawa Kaizer Chiefs wana watu na uchumi wanao

Kambole Simba walikuwa wanamtaka kama mbadala wa Okwi ila wakashindwa dau
 
Kwani wafanyakazi wa Tz na wa SA wanalingana mishahara? Na je, Mshahara unacheza mpira? Ili timu iwe bora inahitaji vitu vingi sio salary tu
Umenena vyema, tofauti za mishahara kwa wafanyakazi TZ na SA ni moja ya viashiria vya tofauti za kiuchumi kwa nchi hizi mbili. Vile vile tofauti ya mishahara/posho kati ya wachezaji wa ligi za soka za TZ na SA ni moja ya vigezo vya tofauti kati ya hizi ligi. Sisi kujilinganisha na ligi kama za SA bado sana. Hata hapa tulipofikia tumshukuru Maulana! Mpira pesa!
 
Watakwambia ah nyie mbona mnataka kulipwa zaidi ata ya wakurugenzi wa mashirika ya uma 🤣🤣🤣🤣
 
Huyo anaingia uwanjani kwa kazi moja tu aliyotumwa. ''To score''

Ushabiki Maandazi wa kiswahili wa pira biriani anawaachia wabongo
Kweli kabisa,mpira ni magoli mambo ya mbwembwe hakuna sahivi.
Ila kwa Mkapa Simba itafanya maajabu mpaka nyinyi watopolo hamtaamini nawaambia.
 
Japo umeandika kwa ukakasi lakini ndo ilivyo. Lakini Simba ina mipango ya sasa na baadaye..Na ndiko inakoelekea.
 
Tulimiliki mpira 75% wao 25% lakin Kwann tumefungwa? Inauma sana jmn mpira huu
 
Hawa jamaa hata wakija hapa kwa mkapa,tuwaangalie sana mipira ya juu kwa ni neema tu,,
Yaani wakipata kona ni goal !! Dah!!
Yatupasa pia tusome nyakati tuachane na mbwembwe tunapokuwa kwenye eneo la umaliziaji,,
Yaani wale jamaa walikuwa wanamimina mikwaju mpaka tumbo linacheza,,alafu sisi tuko kwenye lango lao tunaleta mambo ya biriani !!! Umeshafungwa 4 bado unaleta ufundi kwenye umaliziaji
 
Vile wanasogelea lango la simba unaona kabisa tunaenda kupigwa lingne hatari sana samir nukovic Serbia
Yule Castro katupia la nne Columbia alafu tuliwataka mamelod uzur wote tuliongoza kundi ingekua balaa
 
Huyo Frank Ribery wao hana mbwembwe yeye ni kufunga tu bwege huyu,kanifanya jana nikasahau njia ya kueleka home.
Simba nguvu moja.
Shabiki pekee wa Simba Wa Jikoni aliye mkweli
 
Mbona manara alisema chama na kagele wanakula million 700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…