Hawa Kaizer Chiefs wana watu na uchumi wanao

"dugu zangu nitatoa 25 million kwa goli moja"

Kaskika mudi leo
 
Pole sana mkuu, mechi ijayo tuliza matako nyumbani utakuja gongwa na gari.
Mechi iliyopita niliweka mkeka wa stake 50 elfu nikampa Simba.
mechi ya kwa Mkapa naweka mkeka wa laki single bet Simba anashinda kuanzia goli nne.

Mkeka wa pili naweka elfu 20,000 Simba kuongoza kwa magoli kipindi cha kwanza.

Mkeka wa tatu No GG stake 30,000tsh.
Jumla 150k.
Simba nguvu moja.
 
Sasa SA na Tz mbona tumetofautian vingi sana.
Ndo maana tuko uchumi wa kati so tunajikuna tunapofikia
 
Hizo goli hazirudi! Hata wakiondoa kipa hamzirudishi labda ndotoni.
Izo goli zinarudi na nyongeza juu,tena Kaizer wawe full mkoko asipungue hata mchezaji wao mmoja muhimu.
Yule Manyama wao kwa Mkapa atakua mifupa.
Na yule mzungu pori mwenye ndevu za O zitabadilika kuwa ndevu za W.
 
Kaiser Chief wanavaa jezi inayozaminiwa na NIKE wakati mikia wanavaa maronya ya vunja bei. Kwa mantiki hiyo unafikiri ni rahisi mikia kupata ushindi?
 
Soma dogo, real life utakuja ulikute.
 
Al Ahly pia tim yao ni expensive sana kama hap Keizer lakini tuliwalambisha mchanga.
 
K
Kwani wafanyakazi wa Tz na wa SA wanalingana mishahara? Na je, Mshahara unacheza mpira? Ili timu iwe bora inahitaji vitu vingi sio salary tu
Huwezi chukua mcheza bora zaidi ukamlipa kidogo.

Wage bill tu inakuonesha ubora wa hiyo timu. Inakuhakikishia kuwa inafanya vizuri mara nyingi zaidi kuliko kufanya vibaya.

Kinyume chake sasa,watazame utopolo. [emoji1787][emoji1787]
 
Pia usisahau hawa kaizer chief peke yao ndo huwa wanawafunga mamelodysundown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…