Hawa "ma-pro pesa" wanaotoka jalalani wananifikirisha sana

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Wsalaam wana JF

Hawa wasomi, wabobezi, wanaotumainiwa kuwa ni kielezo cha kuelimika na kusimamia yale waliyobobea wanakua ni laughingstock.

Of cause adui wa kwanza ni njaa, na hii sometimes ni individual case, a case to case basis. Ila inapokua systematic, yaan the whole bunch of population, it leaves a lot to be desired.

Huko jalalani kuna nini? Hawa watu wana low IQ au elimu iko overrated au walifundishwa wrong contents and now they are masters of nonsense.

Tuna Kabudi, Lipumba, Juma, Ndelichako, Mkumbo etc show me your brains guys, I am at the edge, I don't wanna loose my head, come on.

Lord have mercy
 
Ukiacha profesheni za ujuzi na teknikali kma udaktari, injinia na zinazofanana na hizo, elimu ya maprofesa na Phd za wabongo wengi na Africa ni za kujikweza na kujimwambafai tu ila zina mchango finyu sana kwa jamii na taifa kwa ujumla.
 
Bila kuwa chawa uprofesa wako utakufa nao njaa. Shida ni mfumo na sio uprofesa.

Chagua njaa na uprofesa au shibe na uchawa at the end wote ukistaafu utaulizwa ulichuma nini na sio ulifanya nini. Maisha ni jalala, ukistaafu huna kitu mke na watoto wataungana kukudharau then utakufa mapema.

Professionalism peleka ulaya sio afrika.
 
Bila kuwa chawa uprofesa wako utakufa nao njaa.
Shida ni mfumo na sio uprofesa.

Basi wafanye uchawa kisomi
 
Africa wasomi huishia kuonyesha usomi darasani na sio kutatua changamoto za jamii
 
Ukiacha profesheni za ujuzi na teknikali kma udaktari, injinia na zinazofanana na hizo, elimu ya maprofesa na Phd za wabongo wengi na Africa ni za kujikweza na kujimwambafai tu ila zina mchango finyu sana kwa jamii na taifa kwa ujumla.
Wanakatisha tamaa the coming generation
 
Bila kuwa chawa uprofesa wako utakufa nao njaa.
Shida ni mfumo na sio uprofesa.
Chagua njaa na uprofesa au shibe na uchawa at the end wote ukistaafu utaulizwa ulichuma nini na sio ulifanya nini. Maisha ni jalala, ukistaafu huna kitu mke na watoto wataungana kukudharau then utakufa mapema.
Professionalism peleka ulaya sio afrika.
Hakika
 
Back
Top Bottom