Hawa "ma-pro pesa" wanaotoka jalalani wananifikirisha sana

Kuwa na ubobezi au maarifa katika nadharia tu pasipo kuwa na uwezo au uthubutu wa kulitumia ni tatizo kipeuo cha tatu, unakuta mbobezi wa samaki katika chuo cha SUA hajawahi hata kuwa na mradi mdogo wa ufugaji wa samaki ila ndio ana hamasisha na kufundisha wengine wafuge samaki.
 
Naafiki, kwa lugha ya staha tuna watu walio kariri taarifa ambazo hawajui kuzitumia
 
Ukiacha profesheni za ujuzi na teknikali kma udaktari, injinia na zinazofanana na hizo, elimu ya maprofesa na Phd za wabongo wengi na Africa ni za kujikweza na kujimwambafai tu ila zina mchango finyu sana kwa jamii na taifa kwa ujumla.
Nakubaliana na wewe asilimia 100. Wasomi hawa wanaweza nadharia tu.

Ukiwaweka kwenye utendaji hutoamini macho yako walahi
 
Wamegundua Nini? Akili kila mtu anazo na tunazidiana sehemu Fulani, kukariri nayo ni akili kweli, embu futa Uzi wako
 
Mfumo wa Elimu umejaa ukoloni mamboleo usikute michujo ya Elimu inawaacha watu wenye akili inachukua mijitu ya hovyo maana NCHI inasaidiwa zaidi na waliochujwa kwenye Ngazi mbalimbali za elimu.
 
Elimu is Overrated.
Hasa formal Education.

Ipo tofauti kubwa baina ya Akili na Elimu.
Hakika, wapo watu mitaani wenye little or no formal education, ila wana akili na wana command respect. Hawa ma pro-pesa wanatia aibu taifa
 
Mfumo wa Elimu umejaa ukoloni mamboleo usikute michujo ya Elimu inawaacha watu wenye akili inachukua mijitu ya hovyo maana NCHI inasaidiwa zaidi na waliochujwa kwenye Ngazi mbalimbali za elimu.
Hil ni jambo la kulitizama kwa umakini
 
Ukiacha profesheni za ujuzi na teknikali kma udaktari, injinia na zinazofanana na hizo, elimu ya maprofesa na Phd za wabongo wengi na Africa ni za kujikweza na kujimwambafai tu ila zina mchango finyu sana kwa jamii na taifa kwa ujumla.
Hata hao madaktari, na wahandisi, wanafanya nini cha maana? Matibabu ni nje ya nchi, tuna miradi mikubwa ya ujenzi, wakandarasi wa nje ya nchi. Aliyeropokwa juu ya jalala, alikuwa anajua anaongelea nini.
 
Back
Top Bottom