MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wanafikirisha sanaUmeamka nao?...wanalinda matumbo yao na watoto wao
Ni jambo la kufikirisha, hao ni watafiti, wafanye tafitiTatizo linaanza pale mtu ana phd ya udokta anapewa ukuu wa wilaya....
Basi wafanye uchawa kisomiBila kuwa chawa uprofesa wako utakufa nao njaa.
Shida ni mfumo na sio uprofesa.
Chagua njaa na uprofesa au shibe na uchawa at the end wote ukistaafu utaulizwa ulichuma nini na sio ulifanya nini. Maisha ni jalala, ukistaafu huna kitu mke na watoto wataungana kukudharau then utakufa mapema.
Professionalism peleka ulaya sio afrika.
Wanakatisha tamaa the coming generationUkiacha profesheni za ujuzi na teknikali kma udaktari, injinia na zinazofanana na hizo, elimu ya maprofesa na Phd za wabongo wengi na Africa ni za kujikweza na kujimwambafai tu ila zina mchango finyu sana kwa jamii na taifa kwa ujumla.
They dont inspireAfrica wasomi huishia kuonyesha usomi darasani na sio kutatua changamoto za jamii
Teuzi ni pesaBasi wafanye uchawa kisomi
HakikaBila kuwa chawa uprofesa wako utakufa nao njaa.
Shida ni mfumo na sio uprofesa.
Chagua njaa na uprofesa au shibe na uchawa at the end wote ukistaafu utaulizwa ulichuma nini na sio ulifanya nini. Maisha ni jalala, ukistaafu huna kitu mke na watoto wataungana kukudharau then utakufa mapema.
Professionalism peleka ulaya sio afrika.
This must changeTeuzi ni pesa
Ni aibu kwa taifaProf wa cuf ndo anafurahisha zaid
Life without money hii mentality ngumu kuibadili afrikaThis must change
Mbona wateuliwa wengine wanachomoa? Hawataki pesa?Teuzi ni pesa