Hawa Mabeberu tunawasingizia tu. Marais wa Afrika wengi hawana akili. Msome alichofanya Tsishekedi wa DRC ni aibu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.

Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.

Screenshot_2022-10-19-09-30-51-473_com.instagram.android~2.jpg
 
Hata sisi huku tulishatoa uteuzi kwa kada mtiifu wa chama pendwa kushika madaraka ya utendaji mkuu wa TPDC na kumweka kando mwanataaluma nguli, mkiambiwa this is Afrika muwe mnaelewa....
🏃🏃
 
Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.

Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.

View attachment 2391723
Aisee
Nimeandika nimefuta
Na hii nimefuta
 
Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.

Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.

View attachment 2391723
Huyu jamaa sio poa poa Sana nimtu kichwa Sana na Ni msili Sana huyu mtu huwa hapendi watu wajue Ana waza Nini hasa maadui zake ngoja tumpe mda tutajua Nini lengo lake baadae kidogo
 
Unatetea ujinga kwa ujinga.
 
Mambo ya kijeshi na siri za nchi ni mambo magumu sana kueleweka kwa watu walio nje ya mfumo

Kama wale wanao dai dalali hajafa

Unatetea ujinga kwa ujinga.
 
Ndio tunakoelekea sisi maana kila uteuzi ni kama hakuna mbadala wa viongozi hapa nchini.

Majina ni yale yale.
 
Mambo ya kijeshi na siri za nchi ni mambo magumu sana kueleweka kwa watu walio nje ya mfumo

Kama wale wanao dai dalali hajafa
Nakuelewa sana mkuu.

Hapo ukute Tsishekedi amekaa na jopo lake na kuamua kufanya hivyo kwa makusudi, ila tulio nje ya uwanja tunajua kuliko waliopo battle!.
 
Huwezi elewa mambo ya mfumo!!

Jiulize KWA miaka YOTE wakati mteuliwa kafa UNAFIKIRI alikuwa anafanya Nini wakati huo WOTE!!?

Kabla hujaandika uzi kama Huu jiulize maswali mazito!!

Hivi ikitokea leo Mama akamteua Apson Mwang'onda kuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakati alishapotea kitambo UNAFIKIRI nini HASA itakuwa maana yake!!?
 
Back
Top Bottom