Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Khee? Tshisekedi mwingine huyu hapa anaamini Magufuli yupo hai na Chadema wanampinga😀
🏃🏃Hata sisi huku tulishatoa uteuzi kwa kada mtiifu wa chama pendwa kushika madaraka ya utendaji mkuu wa TPDC na kumweka kando mwanataaluma nguli, mkiambiwa this is Afrika muwe mnaelewa....
AiseeHuwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.
Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.
View attachment 2391723
Huyu jamaa sio poa poa Sana nimtu kichwa Sana na Ni msili Sana huyu mtu huwa hapendi watu wajue Ana waza Nini hasa maadui zake ngoja tumpe mda tutajua Nini lengo lake baadae kidogoHuwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.
Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.
View attachment 2391723
Huyu jamaa sio poa poa Sana nimtu kichwa Sana na Ni msili Sana huyu mtu huwa hapendi watu wajue Ana waza Nini hasa maadui zake ngoja tumpe mda tutajua Nini lengo lake baadae kidogo
Mambo ya kijeshi na siri za nchi ni mambo magumu sana kueleweka kwa watu walio nje ya mfumo
Kama wale wanao dai dalali hajafa
CCM wanabadilishana mafuvu yaleyale.Ndio tunakoelekea sisi maana kila uteuzi ni kama hakuna mbadala wa viongozi hapa nchini.
Majina ni yale yale.
Nakuelewa sana mkuu.Mambo ya kijeshi na siri za nchi ni mambo magumu sana kueleweka kwa watu walio nje ya mfumo
Kama wale wanao dai dalali hajafa
miafrika maviMiafrica ndivyo tulivyo.