Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm mkuu ingewezekana ningewaoa wote ila haiwezekanHii hali inanikumba pia mm. Nina mahusiano na mabinti wawili (wote nna mwaka nao wa mahusiano) na wote nawapenda ktk kiwango ambacho nashindwa kumpiga chini mmoja. Hisingekua dini ningeoa wote wawili, bahati mbaya au nzuri wote wawili ni waiislamu na wapo tayari kubadili dini kunifuata,ila mm kubadili kuwafuata wao na kuoa wote wawili naona ni udhaifu mkubwa mnoo.
Eehh Mola nisaidie mja wako kuamua hili swala[emoji120]
Sasa mkuu imeshatokea, ndo maana maana natafuta solutionKukolea kwa wadada wawili hadi kufikia hatua ya wote kuwa tayari kuolewa nawewe ni kujiendekeza vibaya kunakokuja(ga) kuwatesa kwenye maamuzi ya kuoa yupi na maumivu kwa utakayemwacha!
Kwann usikomae na mtu mmoja toka mwanzo..?
Ni ngumu kwetu kukuamulia wakuchagua. Labda ungekuja kuomba ushauri wakwamba umeamua kuwa na huyu flani then uombe ushauri wa jinsi ya kumjuza yule kuwa hutamuoa..Sasa mkuu imeshatokea, ndo maana maana natafuta solution
Nini nafasi ya mwanaume katika familia?Wana bodi, heshima kwenu.
Kadri muda unavyozidi kwendaa ndio nazidi kuchanganyikiwa, sielewi.. moja haikai, mbili haikai.
Niko kwenye mahusiano na mabinti wawili kwa muda miaka 3+ sasa.. Mmoja ni mzuri sana, mrembo, presentable na udambwiudabwi wa kila aina kwenye masula ya mapenzi na mambo ya show off. Kwenye suala la maisha huyu binti ni chenga, sio mpambanaji kivile.. Ila moyo wangu umelala kwake, kidume sipui kabisa pale.
Huyu mwingi ni binti wa kawaida sana, ana heshima zake tuu.. Kwenye uzur ni kawaida sana, sio mtundu sana.. Kwenye show off yeye hayupo kabisa, akisuka yebo fasta mwendo mdundo.. akibana yeye poa tuu, akibana kwa nyuma na raba bendi kama Jumong fresh tuu hana shida. Ila huyu binti ni mpambanaji bana, ni shujaa.. Linapokuwa swala la maisha huyu binti nampa GPA ya 5.0 ila moyo haupo kwake.
Wote wawili wapo tayar kuolewa muda wowote, hata kesho asubuh.
Nashindwa kabisa kuamua hii issue, nani nimchukue kama mke, nani nimpige chinini maana ni zaidi ya mwaka sasa na nikitazama muda unazidi kukimbia. Kwa upande wangu mm nataman vyote kwa pamoja tena kwa 100%.
Msaada wa mawazo yenye fact tafadhali.
HahahahaaaaaaaaWana bodi, heshima kwenu.

Watu wanachagua kwa kukurupukaNa siku zote utaye mchagua ndiye wrong selection mbeleni.
Sijui kwa nini??!!
Jambo gani? hebu liseme tukuelimisha ipasavyoUyu wapili kuna jambo alinteka ambalo sikuwahi kutana nalo toka nianze mahusiano ya mapenzi. Kupitia hilo hilo jambo, nikaona wacha nijilipue nisongeshe wawili kibingwa.