Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote

Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote

Kiingozi timamu huwezi kumwachia dereva wako aendeshe gari spidi ya kifo!!!
Unawahi ahera!!!
 
Mkuu lakini kwa ajali ya leo huko Kilimnjaro inayomhusisha Katibu Tawala wa Mkoa, kulingana na Mkuu wa Mkoa Mohammed Babu, mwenye makosa si dereva wa serikali bali dereva wa lori lililokuwa lina ovateki wakati magari mengine yaliyosimamishwa yamesimama.

Hivyo ikawa uso kwa uso.
Angekua spidi ya kawaida damage isingekua hivyo
 
Back
Top Bottom