Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Sasa hivi mkuu wa mkoa ni Nurdin Babu. Mohamed Babu alikuwa zamani enzi za Kikwete. Sijui huyu Nurdin Babu ana ndugu wowote na Mohammed Babu.Mkuu lakini kwa ajali ya leo huko Kilimnjaro inayomhusisha Katibu Tawala wa Mkoa, kulingana na Mkuu wa Mkoa Mohammed Babu, mwenye makosa si dereva wa serikali bali dereva wa lori lililokuwa lina ovateki wakati magarai mengine yaliyosimamishwa yamesimama.
Hivyo ikawa uso kwa uso.
Iyo gari LC 300 ni ngumu ila wamepata nayo ajali na wamekufa ni muda tu umefika.Nashangaa watu wanatoa sababu zisizo na mashiko. 😃😃😃
Masanja mjukuu wangu Asante. Mkuu Yuko pale anaona dereva anachezea maisha yake Ila yeye mkuu kakaa kimya anawaza rushwa na ngono.My friend you lack seriousness. Waliomo kwenye hayo magari ndo hao hao viongozi na watunga sera. Kama wanashindwa kuwaambia madereva wao wapunguze mwendo au wafuate sheria za barabarani, si unaona hata umakini wa hao viongozi ni wa kutiliwa Shaka?
Wakati mwingine nadhani hawa viongozi wanaotumia magari ya kodi zetu, wanajiaminisha kwamba ajali zinawahusu walipa kodi pekee.
Inasikitisha, lakini ajali zitapungua endapo magari ya serikali yataanza kufuata sheria na kuwajibishwa kama raia wengine.
Huyo mbabe wa Mbozi ajari imechukua maisha yake.RIP. potHawa watu wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya
ili uwe dereva unahitaji kufanya mafunzo ya mchongo na pengine yenye usimamizi hafifu na kuachiwa uingie barabarani ukalete madahara kwa watu wengine
Darasa la saba B atapewaje gari ya thamani kubwa ikiwa imembeba mtu ambaye upatikanaji wake unachukua miaka mingi ya kielimu na kiuzoefu?
Uwezo wao wa kufanya maamuzi hata yale binafsi ni mdogo, inakuaje aachiwe akafanye maamuzi mazito huko barabarani?
Wakati umefika, viongozi wajiendeshe wenyewe au wasafiri kwa vyombo vingine ambavyo wanaondesha wanatumia muda mwingi darasani na hawaku-fail darasa la saba
Nawasilisha kwa hasira
PIA SOMA
- TANZIA - Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari
Sometimes ni Kazi nyingi wanaishia kuchoka.Dereva hajapumzika anaunganishwa safari na akifika huko anaenda kuzurula kwa videmu vidogo hatimae anaona Barbara mbili anafuata ya kushoto inakuwa hatari zaidiMasanja mjukuu wangu Asante. Mkuu Yuko pale anaona dereva anachezea maisha yake Ila yeye mkuu kakaa kimya anawaza rushwa na ngono.
Sisi hatuwezi kuleta mabadiliko iwapo muhusika anajiona hahusiki na kifo.
MADEREVA mkiona wakuu wenu Ni mazwazwa wekeni Moto bati.
Umesema Wameenda motoni 😳😳😳😳Iyo gari LC 300 ni ngumu ila wamepata nayo ajali na wamekufa ni muda tu umefika.
Uko sahihi kabisa. Kuna siku nilikua naongea na dereva mmoja wa mkubwa, akaniambia hao viongozi NDIO WANAPENDA UENDESHE HIVYO!! Akaniambia mfano kwenye taasisi zenye madereva wengi, utakuta dereva anaepewa safari mara kwa mara, NI YULE ANAEKIMBIZA GARI SANA kuliko wenzake huyo ndio anapendwa. Akanipa mfano kwamba inaweza kupigwa simu kwamba kuna kikao cha dharura labda Dodoma, na kiongozi anatakiwa awepo, akasema dereva unaambiwa we kanyaga lazima tuwahi. Usipofanya hivyo next safari anachukuliwa dereva mwingine we unaambiwa huwezi kazi! Madereva ndio wanauawa na viongozi. 😐Hapo sasa ukute Huyo RAS ndo alikuwa anamgombeza dereva akiwa anaendesha mwendo wa slow..! Suala la kuendesha barabarani ajali ikitokea analaumiwa dereva ila haya mambo ni magumu sanaa..
Mtoa mada anashindwa kuelewa kuwa elimu kubwa haiendeshi gari Bali ni MTU binafsi, tatizo sio darasa la 7 wala chuo kikuu Bali ni UJINGA wa viongozi wenyewe ambao wanafurahia speed kubwa.
Hawa watu wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya
ili uwe dereva unahitaji kufanya mafunzo ya mchongo na pengine yenye usimamizi hafifu na kuachiwa uingie barabarani ukalete madahara kwa watu wengine
Darasa la saba B atapewaje gari ya thamani kubwa ikiwa imembeba mtu ambaye upatikanaji wake unachukua miaka mingi ya kielimu na kiuzoefu?
Uwezo wao wa kufanya maamuzi hata yale binafsi ni mdogo, inakuaje aachiwe akafanye maamuzi mazito huko barabarani?
Wakati umefika, viongozi wajiendeshe wenyewe au wasafiri kwa vyombo vingine ambavyo wanaondesha wanatumia muda mwingi darasani na hawaku-fail darasa la saba
Nawasilisha kwa hasira
PIA SOMA
- TANZIA - Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari
Wewe mixologist ndo unatetra upuuzi na UJINGA.Endelea kutetea upuuzi, hao watu hawana akili kabisa, wengi wanavunja sheria za barabarani na ku-overtake kwenye milima na kona kali bila kujali
Chuma imeitandika lorry mpka wametoka nje ya barabara 🔥angalia hii
Wanakimbia sana kama hawana akili nzuri.Chuma imeitandika lorry mpka wametoka nje ya barabara 🔥
Wanakuambia chuma ina ruhusu iko kwenye 180 utadhani ni 80Wanakimbia sana kama hawana akili nzuri.