Mleta mada Huna akili kwanza kwa kudharau taaluma ya mtu, unapomuona mwenzako hana akili na kushusha uwezo wake yeye pia anakuona hvo hvo, dereva anaongozwa kwa sheria na taratibu mpaka anapata ajali anaweza sababisha au kusababishiwa. Nature ya viongozi hawataki kukaa foleni na kufuata sheria na hulazimisha ku overtake au kukimbia awahi anapokwenda.
Kama tatzo ni dereva wajiendeshe wenyewe simple tuu, mbona wao wanafanya maamuzi ya hovyo yanayogharimu maisha yetu au huoni hilo, kifo ni ahadi na ajali haina kinga