Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote

Usiwasingizie madereva,viongozi wenyewe wanarogana wao kwa wao... (hata ukiniuliza uchawi nini na nitathibitishaje kisayansi, jibu langu ni hili.. Sayansi siyo jibu la mambo yote )
 
Hawa watu ambao wame-fail darasa la saba na wana IQ ndogo sana wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya

ili uwe dereva unahitaji kufanya mafunzo ya mchongo na pengine yenye usimamizi hafifu na kuachiwa uingie barabarani ukalete madahara kwa watu wengine

Darasa la saba B atapewaje gari ya thamani kubwa ikiwa imembeba mtu ambaye upatikanaji wake unachukua miaka mingi ya kielimu na kiuzoefu?

Uwezo wao wa kufanya maamuzi ata yale binafsi ni mdogo, inakuaje aachiwe akafanye maamuzi mazito huko barabarani?

Wakati umefika, viongozi wajiendeshe wenyewe au wasafiri kwa vyombo vingine ambavyo wanaondesha wanatumia muda mwingi darasani na hawaku-fail darasa la saba

Nawasilisha kwa hasira
Kufeli darasani sio kufeli mengineyo. Wengi wa waliofeli ndio wanatuweka mjini mamen na cash zao. Kuna waliofaulu ila hamnazo kivitendo.
 
Well said, japo mara nyingi kinga ya ajali ni ngumu, lakini ukweli dereva wa serikalini wengi hawafati taratibu kabisa, mfano sisi dereva wetu yeye hafati sheria kabisa, hata kwenye Mataaa namuonaga yeye anapita tu shwaa, namwambiaga huyo unayemuegemea ipo siku yako.
Unakubalije kuendeshwa hivyo?

Spidi sio mbaya ila kun rough fulani hivi hazikubaliki
 
Mkuu ile ajali picha tumeona, ilikuwa na highly energetic! Na energy ni product ya spidi na uzito mkuu.

Energy = ½ mass x speed²
Speed ina more effect kwenye energy kuliko uzito. Increase ya spidi kidogo inaongeza energy sana kwasababu speed inakuwa sqaured

Kamq kweli lori liliovateki na ST ikasimama then Lori lingeibutua na kuisukuma nyuma, tungeona alama za matairi ya STL ikiburutwa nyuma. Damage kwa frontend isingekuwa that much na wangetoka vizuri tu.

Kwa kuangalia tu picha ST likuwa ameiva mbaya na kama kweli lori liliovateki basi either ST litia jeuri hakumpisha ama alikumbwa na surprise hakupata nafasi ya kupunguza mwendo na kumpisha.

Uliza dereva yoyote mzoefu highway atakuambia madereva wabaya zaidi barabarani ni
1. Serikali
2. Mabasi
3. Empty tanker
4. Private
5. Loaded trucks

Mabalozi wanaendesha magari hayo hayo na pia hawafuatiliwi na matrafiki kama ilivyo serikali lakini niambie mara ya mwisho umesikia gari la ubalozi, UN na diplomatic plates nyingine limepata ajali highway lini?
Picha iko wapi?
 
Attachments

  • IMG-20240618-WA0007.jpg
    IMG-20240618-WA0007.jpg
    155.5 KB · Views: 2

Mkuu hao jamaa namba 3 usije ukajichanganya kufanya nao ligi hizo chuma Zina mwendo sio wa nchi hii.

Ila yote Kwa yote madereva wa serikali ni wendawazimu
 
Hawa watu ambao wame-fail darasa la saba na wana IQ ndogo sana wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya

ili uwe dereva unahitaji kufanya mafunzo ya mchongo na pengine yenye usimamizi hafifu na kuachiwa uingie barabarani ukalete madahara kwa watu wengine

Darasa la saba B atapewaje gari ya thamani kubwa ikiwa imembeba mtu ambaye upatikanaji wake unachukua miaka mingi ya kielimu na kiuzoefu?

Uwezo wao wa kufanya maamuzi ata yale binafsi ni mdogo, inakuaje aachiwe akafanye maamuzi mazito huko barabarani?

Wakati umefika, viongozi wajiendeshe wenyewe au wasafiri kwa vyombo vingine ambavyo wanaondesha wanatumia muda mwingi darasani na hawaku-fail darasa la saba

Nawasilisha kwa hasira
Umenena kweli mkuu,Bora wachukue wazee!
 
Well said, japo mara nyingi kinga ya ajali ni ngumu, lakini ukweli dereva wa serikalini wengi hawafati taratibu kabisa, mfano sisi dereva wetu yeye hafati sheria kabisa, hata kwenye Mataaa namuonaga yeye anapita tu shwaa, namwambiaga huyo unayemuegemea ipo siku yako.
Mchane tuu ipo siku mtakuwa vilema au marehemu wajao!
 
Hapo sasa ukute Huyo RAS ndo alikuwa anamgombeza dereva akiwa anaendesha mwendo wa slow..! Suala la kuendesha barabarani ajali ikitokea analaumiwa dereva ila haya mambo ni magumu sanaa..
 
My friend you lack seriousness. Waliomo kwenye hayo magari ndo hao hao viongozi na watunga sera. Kama wanashindwa kuwaambia madereva wao wapunguze mwendo au wafuate sheria za barabarani, si unaona hata umakini wa hao viongozi ni wa kutiliwa Shaka?

Wakati mwingine nadhani hawa viongozi wanaotumia magari ya kodi zetu, wanajiaminisha kwamba ajali zinawahusu walipa kodi pekee.

Inasikitisha, lakini ajali zitapungua endapo magari ya serikali yataanza kufuata sheria na kuwajibishwa kama raia wengine.
Umenena Mkuu. Wewe Kichwa Haswaa. Yaan hao walioko kwenye nafasi za kutunga sheria mfano Za Halmashauri na Baraza la madiwani yaani By Laws, na lazma Ras apitishe, hawajaona sababu yy Mtanzania wa JF ndio Akawasemee! Mahoka.
 
Hawa watu ambao wame-fail darasa la saba na wana IQ ndogo sana wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya

ili uwe dereva unahitaji kufanya mafunzo ya mchongo na pengine yenye usimamizi hafifu na kuachiwa uingie barabarani ukalete madahara kwa watu wengine

Darasa la saba B atapewaje gari ya thamani kubwa ikiwa imembeba mtu ambaye upatikanaji wake unachukua miaka mingi ya kielimu na kiuzoefu?

Uwezo wao wa kufanya maamuzi ata yale binafsi ni mdogo, inakuaje aachiwe akafanye maamuzi mazito huko barabarani?

Wakati umefika, viongozi wajiendeshe wenyewe au wasafiri kwa vyombo vingine ambavyo wanaondesha wanatumia muda mwingi darasani na hawaku-fail darasa la saba

Nawasilisha kwa hasira
Mkuu mbona unaongea uharo? Kati ya kiongozi anaendeshwa na dereva anaendesha ni nani anaamua gari likimbie kwa mendo upi
 
Back
Top Bottom