Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote

Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote

Mkuu lakini kwa ajali ya leo huko Kilimnjaro inayomhusisha Katibu Tawala wa Mkoa, kulingana na Mkuu wa Mkoa Mohammed Babu, mwenye makosa si dereva wa serikali bali dereva wa lori lililokuwa lina ovateki wakati magarai mengine yaliyosimamishwa yamesimama.

Hivyo ikawa uso kwa uso.

Tatizo kubwa ni kwa madereva wa kitanzania wengi kutokufuata sheria za usalama barabarabani; huenda kwa kutozijua au kwa makusudi. Zaidi ya 85% ya ajali za barabarani Tanzania hutokana na uzembe wa madereva kutokufuata sheria za usalama barabarani. Kulingana na uharibifu wa magari yaliyohusika kwenye ajali hii, unaona wazi kuwa dereva alikuwa spidi ya juu sana, na huende nje ye speed limit.

Endelea kutetea upuuzi, hao watu hawana akili kabisa, wengi wanavunja sheria za barabarani na ku-overtake kwenye milima na kona kali bila kujali

Sasa wewe hapa wewe ndugu MIXOLOGIST sijui umeaqndika nini kujibu posit ya ndugu Jidu La Mabambasi . Wakati mwingine ni vizuri kutokujibu kabisa kuliko kuandika katika sytle ya ubishi bila kujua unachobiasha.
 
Tatizo kubwa ni kwa madereva wa kitanzania wengi kutokufuata sheria za usalama barabarabani; huenda kwa kutoziijua au kwa makusudi. Zaidi ya 85% ya ajali za barabarani Tanzania hutokana na uzembe wa madereva kutokufuata sheria za usalama barabaranu. Kulingana na uharibifu wa magari yaliyohusika kwenye ajali hii, unaona wazin kuwa dereva alikuwa spidi ya juu sana, nan huende nje ye speed limit.

Mkuu huyo MIXOLOGIST alikuwa anapata serengeti ya jioni!:tapiCheers:
 
angalia hii
1718778919831.png

Asante mkuu.
Picha hii inaelezea vizuri kile kilichotokea.
Kwa nyuma tunaon magari yaliyosimamishwa.
Mwenye lori katoka lane yake kaingia upande wa kulia.
Gari ya serikali iko njia yake.
Wamejaribu kukwepana wameishia wote kubamizana nje ya barabara.
Matokeo yake tunayajua wote.
 
Tatizo kubwa ni kwa madereva wa kitanzania wengi kutokufuata sheria za usalama barabarabani; huenda kwa kutoziijua au kwa makusudi. Zaidi ya 85% ya ajali za barabarani Tanzania hutokana na uzembe wa madereva kutokufuata sheria za usalama barabaranu. Kulingana na uharibifu wa magari yaliyohusika kwenye ajali hii, unaona wazin kuwa dereva alikuwa spidi ya juu sana, nan huende nje ye speed limit.

Sasa wewe hapa wewe ndugu MIXOLOGIST sijui umeaqndika nini kujibu posit ya ndugu Jidu La Mabambasi . Wakati mwingine ni vizuri kutokujibu kabisa kuliko kuandika katika sytle ya ubishi bila kujua unachobiasha.
Hizo ni hard facts mkuu
 
Wewe mixologist ndo unatetra upuuzi na UJINGA.

Anayeendeshwa anaona mwendo safi tena nyakati zote hao maboss ndo wanaowaelekeza madereva waongeze mwendo......wewe kajampa nani unapiga kelele wakati hujawahi kuendeshwa na hutoendeshwa mpaka unaingia kaburini.

Wakifa ndo kwa ajari kama hiyo ndo wengine watajifunza vizuri.

@mixiologist tuliza makalio Binti
Kwanza, nikutoe wasiwasi sihitaji kuendeshwa na kujiendesha kwa hela za walipa kodi. Mimi ndiye yule mlipa kodi mwenyewe

Pili, wewe kama dereva unayetumia makalio bosi wako akikuambia ubong'oe akusimike kidole utafanya?

Dereva yoyote au mtumishi yoyote wa umma anapswa kutii amri halali

Tatu na mwisho, hii ni akili kubwa, mjikusanye kijiji kizima wewe na wanawake wenzako mliokeketwa ndiyo mje mpambana na mimi
 
Ukiona watu wanajifanya wako juu hata polisi hawawasimamishi barabarani ndio yakitokea haya utasikia ooh mwenye makosa sio wa serikali ooh kulikuwa na utelezi , yaani sababu chungu nzima ila unakuta uhai wa mtu umeshaondoka.
 
View attachment 3020556
Asante mkuu.
Picha hii inaelezea vizuri kile kilichotokea.
Kwa nyuma tunaon magari yaliyosimamishwa.
Mwenye lori katoka lane yake kaingia upande wa kulia.
Gari ya serikali iko njia yake.
Wamejaribu kukwepana wameishia wote kubamizana nje ya barabara.
Matokeo yake tunayajua wote.
Pia ukiangalia vizuri, inaonekana huyo dereva wa Katibu Tawala hakuwa na tahadhari, alikuwa speed kubwa(pamoja na kwamba tatizo ni la mwenye lorry).
 
Mkuu mbona unaongea uharo? Kati ya kiongozi anaendeshwa na dereva anaendesha ni nani anaamua gari likimbie kwa mendo upi
Huu ujinga huwa mnajifunzia wapi? Dereva anatakiwa aendeshe chombo kwa mujibu wa sheria za barabarani, kwa hivyo wewe kama dereva bosi wako akikuambia akugonge kidole makalioni huku unaendesha utatii?

Ujinga ni mwingi sana
 
Well said, japo mara nyingi kinga ya ajali ni ngumu, lakini ukweli dereva wa serikalini wengi hawafati taratibu kabisa, mfano sisi dereva wetu yeye hafati sheria kabisa, hata kwenye Mataaa namuonaga yeye anapita tu shwaa, namwambiaga huyo unayemuegemea ipo siku yako.
Dereva alikuwa haraka kumkimbiza RAS kwa ajili ya kumpokea Mh Makamu wa Rais, dereva wa RC ndiye alisababisha ajali, yeye ali overtake gari alafu ghafla mbele kalivaa karandinga la mitungi ya gesi. Wakiwa barabarani wanaona barabara yote ni ya kwao hawajali chochote.
 
Hawa watu wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya

ili uwe dereva unahitaji kufanya mafunzo ya mchongo na pengine yenye usimamizi hafifu na kuachiwa uingie barabarani ukalete madahara kwa watu wengine

Darasa la saba B atapewaje gari ya thamani kubwa ikiwa imembeba mtu ambaye upatikanaji wake unachukua miaka mingi ya kielimu na kiuzoefu?

Uwezo wao wa kufanya maamuzi hata yale binafsi ni mdogo, inakuaje aachiwe akafanye maamuzi mazito huko barabarani?

Wakati umefika, viongozi wajiendeshe wenyewe au wasafiri kwa vyombo vingine ambavyo wanaondesha wanatumia muda mwingi darasani na hawaku-fail darasa la saba

Nawasilisha kwa hasira

PIA SOMA
- TANZIA - Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari
Wanapewa madereva qualified kabisa ila hawawataki kwasababu wanahisi wanaweza wakawafanyia mchezo mibaya kwa maksudi pamoja na kutegeshewa ajali hvyo wengi wao wanaendeshwa na ndugu au marafiki zao wa karibu.
 
Mkuu mbona unaongea uharo? Kati ya kiongozi anaendeshwa na dereva anaendesha ni nani anaamua gari likimbie kwa mendo upi
Boss akikalia massaging seat unazani mwendo anausikia😂😂😂, anambiwa tu tumefika anaitikia Very Good, chuma inapack
 
Back
Top Bottom