Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mkuu lakini kwa ajali ya leo huko Kilimnjaro inayomhusisha Katibu Tawala wa Mkoa, kulingana na Mkuu wa Mkoa Mohammed Babu, mwenye makosa si dereva wa serikali bali dereva wa lori lililokuwa lina ovateki wakati magarai mengine yaliyosimamishwa yamesimama.
Hivyo ikawa uso kwa uso.
Tatizo kubwa ni kwa madereva wa kitanzania wengi kutokufuata sheria za usalama barabarabani; huenda kwa kutozijua au kwa makusudi. Zaidi ya 85% ya ajali za barabarani Tanzania hutokana na uzembe wa madereva kutokufuata sheria za usalama barabarani. Kulingana na uharibifu wa magari yaliyohusika kwenye ajali hii, unaona wazi kuwa dereva alikuwa spidi ya juu sana, na huende nje ye speed limit.
Endelea kutetea upuuzi, hao watu hawana akili kabisa, wengi wanavunja sheria za barabarani na ku-overtake kwenye milima na kona kali bila kujali
Sasa wewe hapa wewe ndugu MIXOLOGIST sijui umeaqndika nini kujibu posit ya ndugu Jidu La Mabambasi . Wakati mwingine ni vizuri kutokujibu kabisa kuliko kuandika katika sytle ya ubishi bila kujua unachobiasha.
