Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k
Takriban watumwa milioni 6 walipelekwa nchi Uarabuni, hawa ni wengi kuliko waliopelekwa Marekani na Carribean ambao ni milioni 4
Inakuwaje Marekani na Carribean kuna watu weusi wengi zaidi kuliko Uarabuni licha ya kupokea watumwa wachache?