Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Wewe ndio sijui hata unaandika nini.
Sioni logic katika maandishi yako...!

Nawewe ni Mwarabu wa Mbagala?

Unafikiri kila mtu humu atakufuata wewe!! Kwahiyo yeyote anaejitokeza kuwatetea waarabu ni mwarabu sio!! Tunapenda mno kulalamika, penda usipende waarabu wanasifika duniani kwa utu, ukarimu, ustaarabu n.k, especially Oman.
 
Mtoa mada anauliza kuhusu. Waarabu wa Middle East..

Cha ajabu Waarabu Weusi naona wanarusha Ngumi.
 
Vizazi vya Waafrika Watumwa bado viko Mashariki ya kati, tusiufanye huu uzi kuwa wa chuki ila wa kuelimishana.
 
Kusini mwa india kwenye majimbo ya karnataka, andhra pradesh,tamil nadu,kerala etc kote kuna jamii za watu weusi

Hao dravidians history Yao ni tofauti na black slaves from Africa ,hao dravidians WA India South wapo hapo Kabla hata ya biashara ya utumwa ni indigenous wa hayo maeneo kama unavyo waona wale aborigins WA Australia
 
Hata kugoogle hamtaki,mkilishwa propaganda mnameza na kuvimbiwa,Oman 15% ni weusi,Saudia 10%, Yemeni 12..Hawa wametoka wapi!?..wale wahindi weusi wametoka wapi!?..ati mzungu alikua na utu!!..Kama kusoma tabu tafuta movie 'twelve years a slave' uone utu wa mzungu
Waaaapiiiiii
 
Wazungu ni watu washenzi mara dufu ,mpaka kesho mtu mweusi kwao anaonekana kituko, infact nchi kama USA masuala ya ubaguzi yamepungua kasi baada ya watu weusi kulalamika sana mwishoni mwa miaka ya 80. Ila kuna majimbo mpk kesho mtu mweusi kwao anaonekana kama kioja tu.
Je huko Kwa hao slave masters wenu waarabu MuAfrica ndio ana thamani ? , Huko ambako Dada zenu wanabakwa na kuuawa kila siku ?
 
Nilicho kiona hapa huu mjadala ingawa panazumgumzwa ubaya wa waarabu lkn pembeni yake Pana husishwa na Uislamu. Wasichokijua watu ni kwamba ukiona kanzu na vilemba unajua wote ni waislamu,,Kwa taarifa yenu asilimia 80% au 70% ya watu WA Saudi Arabia Kwa mfano sio waislamu? Najua itakushangaza hii! Usi bishe fanya utafiti Kwanza.

Kwahiyo nakubali kabisa kuwa Waarabu Wana roho mbaya Sana,wao wenyewe walikuwa wanawaua watoto wao WA kike Kwa kuona aibu,yaani kipindi kabla haujaja Uislamu ilikuwa ni aibu Sana Kwa mwarabu kuwa na mtoto wa kike,kwahiyo kuepuka fedheha walikuwa wanawaua.

Lakini ulipokuja Uislamu uliondoa ujinga wote huo na wakawa watu wema, haikuwa ajabu kipindi kile waarabu wanaweza kumuona mwanamke ana mimba halafu wakabisha je Ile mimba ni ya mtoto wa kiume au kike,basi kumaliza ubishi watamuua Yule Mama na kuangalia jinsia ya mtoto.

Kwahiyo waarabu ni washenzi by nature ingawa Uislamu umewapa mwanga,kwahiyo nyie ambao akili zenu mna ule ujinga WA kuwa kila mwarabu ni muislamu acheni huo upuuzi wenu.

Jamii zote zilizo kuwa zinamiliki watumwa walikuwa na roho mbaya na waliwafanyia madhila makubwa Sana watumwa,,,kuna wapuuzi wanawasifu wazungu kuwa walikuwa wanawatreat vizuri,,kumbuka wazungu hao hao baadhi Yao walikuwa wanapotaka kuwinda mamba kupata ngozi ya kutengeneza bidhaa mbali mbali walikuwa wanawatumia watoto wa watumwa kama chambo cha kukamatia hao mamba,na kuna kuna matukio mengine mengi ya ajabu,mfano anaweza mtumwa akatupwa mbele ya Simba au chui wazungu waone show inavyokuwa.

Kwa kufupisha kila jamii iliyokuwa inamiliki watumwa ilikuwa na ubaya wake na uzuri wake na waarabu wakiwa wamoja wapo,Ila msihusishe Imani za Dini kujenga hoja zenu,,Sisi wa Cuba tunajua unamlenga mwarabu lkn Moyoni unamlenga Uislamu,huo ni upuuzi!
 
Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k

Lakini nchi za kiarabu pia kulipelekwa mamilioni ya watumwa hasa kutoka Afrika Mashariki

Takriban watumwa milioni 2 walipelekwa Uarabuni kutoka Afrika Mashariki

Je mbona Uarabuni hakuna hawa watu weusi waliozaliana kama huko Amerika?

View attachment 2371844
HAKUNA ALIE HASIWA, ila tamaduni za kiarabu na ustaarabu wao. sheria kali ya kifo kila anaepatikana na kosa la UZINIFU ilichangia sana kutoongezeka watu weusi waliokua uarabuni hakuna hata mwanamke wa kiarabu angezini na mtumwa kule.kama ilivyo ulaya watumwa walikua wakiwazini wanawake wa kizungu na kupatikana machotara wengi wa kiafrika kule ulaya zaidi ya Uarabuni. na hii ina thibitisha mpaka sasa
wewe mwafrika hata uwe na mali kiasi gani huwezi kuozeshwa au kukubaliwa kimapenzi na bint yeyote mwarabu pure never ever labada awe chotara. Lakini ULAYA unajiokotea mabinti wa Kizungu atakavyo nguvu yako tu.
WAARABU WAMEJIHIFADHI SANA KATIKA ZINAA ZAIDI YA WAZUNGU.
 
Je huko Kwa hao slave masters wenu waarabu MuAfrica ndio ana thamani ? , Huko ambako Dada zenu wanabakwa na kuuawa kila siku ?

Wewe hujui unachokiongea, huwajui waarabu kiundani wala hujatembea/hujaishi nchi zao, isipokua umekaririshwa na wanaoupiga vita uislamu na kuwachukua waarabu, ungejua nchi za kiarabu mtu mweusi ana thamani kubwa usingekuja na maneno makali, mtu mweusi anaefanya kazi kwenye ma kampuni mbali mbali ya mafuta n.k, wengi wao wana uraia na wanalipwa mishahara mizuri.

Haya tuambie huko kwa ndugu zako wa imani yako/ ulaya wanawalipeni how much? Na kazi zipi mnafanyishwa?

Mwenyezi Mungu awalipe kheri nyingi ndugu zetu waarabu, wametujengea misikitì, madrasa, mashule, mahospital, zahanati, visima vya maji n.k n.k...
 
HAKUNA ALIE HASIWA, ila tamaduni za kiarabu na ustaarabu wao. sheria kali ya kifo kila anaepatikana na kosa la UZINIFU ilichangia sana kutoongezeka watu weusi waliokua uarabuni hakuna hata mwanamke wa kiarabu angezini na mtumwa kule.kama ilivyo ulaya watumwa walikua wakiwazini wanawake wa kizungu na kupatikana machotara wengi wa kiafrika kule ulaya zaidi ya Uarabuni. na hii ina thibitisha mpaka sasa
wewe mwafrika hata uwe na mali kiasi gani huwezi kuozeshwa au kukubaliwa kimapenzi na bint yeyote mwarabu pure never ever labada awe chotara. Lakini ULAYA unajiokotea mabinti wa Kizungu atakavyo nguvu yako tu.
WAARABU WAMEJIHIFADHI SANA KATIKA ZINAA ZAIDI YA WAZUNGU.
Wamezaliana wenyewe kwa wenyewe, machotara ni kidogo sana
 
Wasichokijua watu ni kwamba ukiona kanzu na vilemba unajua wote ni waislamu,,Kwa taarifa yenu asilimia 80% au 70% ya watu WA Saudi Arabia Kwa mfano sio waislamu? Najua itakushangaza hii! Usi bishe fanya utafiti Kwanza
Thibitisha hili.
 
Back
Top Bottom