Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k
Lakini nchi za kiarabu pia kulipelekwa mamilioni ya watumwa hasa kutoka Afrika Mashariki
Takriban watumwa milioni 2 walipelekwa Uarabuni kutoka Afrika Mashariki
Je mbona Uarabuni hakuna hawa watu weusi waliozaliana kama huko Amerika?
View attachment 2371844