Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Mi nimeenda Oman na Saudi Arabia... Wale jamaa ni wanyama. Wanyama kabisa.. hawafai. Weusi wanafanywa zaidi ya ushetani mpaka kula kinyesi. Wanafanyiwa madhira ambayo ni aibu sisi kusimulia.maana tunaweza tengwa na watu wa dini.... So tunanyamaza kwa mengi sana. Msione kuna watu hatusemi kitu. Tunasimamia tu misingi ya dini lakini hatutaki kuabudu race ya watu.
 
Bado tu kuna watu wanawazaga utumwa!! Tutafute hela aise, waarabu pigeni kazi, hawa tulishawazoea, na wengi wao hawana kazi za kufanya. Pigeni kazi bhabhaa
 
Mnaweza kusoma madhila waliyofanyiwa waafrika katika ardhi za wazungu katika kipindi cha utumwa

Ubaguzi kwa watu wenye ngozi nyeusi upo ulimwengu mzima. Nenda marekani utakutana na racism , ulaya ubaguzi upo, china ubaguzi upo, urusi ubaguzi upo mpk watu weusi wanauliwa.
 
Hata kugoogle hamtaki,mkilishwa propaganda mnameza na kuvimbiwa,Oman 15% ni weusi,Saudia 10%, Yemeni 12..Hawa wametoka wapi!?..wale wahindi weusi wametoka wapi!?..ati mzungu alikua na utu!!..Kama kusoma tabu tafuta movie 'twelve years a slave' uone utu wa mzungu
 
Nani alikudanganya, fuatilia historia uone ukatili wa wazungu waliofanya kwa watumwa wa kiafrika
 
Wanajisahaulisha kuwa ubaguzi wa rangi Amerika mpk kesho upo!!
 
Acha kupotosha watu, na wengi wao wanaamini upotoshaji, utawakamata wengi sana
 
Kama source yako ni Movie na Google basi sina hata haja ya kubishana nawewe.

Na si bure hata kwenye Google hujasearch vitabu umetype tu
 
Kama source yako ni Movie na Google basi sina hata haja ya kubishana nawewe.

Na si bure hata kwenye Google hujasearch vitabu umetype tu
Umeamua kujizima data!!!..endelea na punyeto lako la kiimani maana lakupa faraja
 
Hivi kuna jamii duniani watu wake makatili kama wabantu!! Japo sio wote.

Hivi kuna jamii watu wake wakarimu kama waarabu!! Japo sio wote, lakini wengi wao ni watu wazuri, wakarimu, wana imani n.k.

Olenimala?? Au niongee lugha ipi unielewe!!
 
Tafuta hela
 
Kama source yako ni Movie na Google basi sina hata haja ya kubishana nawewe.

Na si bure hata kwenye Google hujasearch vitabu umetype tu

Kwahiyo unaamini ulichokaririshwa sio! Ni nani aliekukaririsha uongo nawe ukaamini? Ni wale ndugu zako wa dini moja huko ulaya na amerika kwa ujumla? Au huko makanisani?? Njoo na facts with evidence
 
Yani wewe unajionyesha wazi kuwachukia waarabu, kwa taarifa yako tu, hakuna jamii iliyo na utu, ukarimu kama waarabu. Na usifikiri kuwachukia kwako waarabu ndio na wengine tukufuate, hilo liondoe akilini mwako, na Muisilamu ambae anawachukia waarabu huyo sio muisilamu wa kweli, bali ni jina tu, na wala hajasoma dini.

Bhujiku ng'waka
 
Kwahiyo unaamini ulichokaririshwa sio! Ni nani aliekukaririsha uongo nawe ukaamini? Ni wale ndugu zako wa dini moja huko ulaya na amerika kwa ujumla? Au huko makanisani?? Njoo na facts with evidence
Wewe ndio sijui hata unaandika nini.
Sioni logic katika maandishi yako...!

Nawewe ni Mwarabu wa Mbagala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…