Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Walikuwa na utaratibu wa kuwahasi watumwa waliopelekwa uarabuni enzi hizo, hata masalia ya watu wenye weusi walitokana na wao kuwazalisha wanawake weusi lakini sio vinginevyo
 
Hawa watu kila mara wanaeleweshwa lakini ubishi tu mkuu,, chuki mbaya sana.
Acha kupotosha ukweli, mwarabu alihusika sana kwenye biashara ya utumwa huku Afrika mashariki kabla hata mzungu hajaja huku Afrika mashariki.
Na mzungu ndo aliamua kuikomesha hiyo biashara ya utumwa mnamo miaka ya 1876.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wanabahati sana, ningelikua mimi ndie rais watu kama hawa ninge..liku..a najika..matia na kusw..eka.. je....l..a. Ili na wengine wenye chuki na waarabu waadabike kidogo/wajirekebishe.
Waarabu mpaka leo ni wabaguzi,
Mfano waarabu hawapendi mabinti zao waolewe na waafrika, eti utaolewaje na mtumwa?
Ila wao huwaoa waafrika na wakizaa nao waafrika huwafukuza na kuwanyang'anya watoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hujui unachokiongea, huwajui waarabu kiundani wala hujatembea/hujaishi nchi zao, isipokua umekaririshwa na wanaoupiga vita uislamu na kuwachukua waarabu, ungejua nchi za kiarabu mtu mweusi ana thamani kubwa usingekuja na maneno makali, mtu mweusi anaefanya kazi kwenye ma kampuni mbali mbali ya mafuta n.k, wengi wao wana uraia na wanalipwa mishahara mizuri.

Haya tuambie huko kwa ndugu zako wa imani yako/ ulaya wanawalipeni how much? Na kazi zipi mnafanyishwa?

Mwenyezi Mungu awalipe kheri nyingi ndugu zetu waarabu, wametujengea misikitì, madrasa, mashule, mahospital, zahanati, visima vya maji n.k n.k...
Wewe muongo wa kutupwa wadanganye wengine ila siyo mimi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kinacho sikitisha ni ilikuwaje jamii karibu zote duniani zione mtu mweusi ndo wa kufanywa mtumwa? Tulijichanganya wapi?
 
Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k

Takriban watumwa milioni 6 walipelekwa nchi Uarabuni, hawa ni wengi kuliko waliopelekwa Marekani na Carribean ambao ni milioni 4

Inakuwaje Marekani na Carribean kuna watu weusi wengi zaidi kuliko Uarabuni licha ya kupokea watumwa wachache?

View attachment 2371844
Wapo Urambo Tabora
 
Yani wewe unajionyesha wazi kuwachukia waarabu, kwa taarifa yako tu, hakuna jamii iliyo na utu, ukarimu kama waarabu. Na usifikiri kuwachukia kwako waarabu ndio na wengine tukufuate, hilo liondoe akilini mwako, na Muisilamu ambae anawachukia waarabu huyo sio muisilamu wa kweli, bali ni jina tu, na wala hajasoma dini.

Bhujiku ng'waka
Duh kwa hiyo kila muislamu ampende hadi Osama sio?
 
Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k

Takriban watumwa milioni 6 walipelekwa nchi Uarabuni, hawa ni wengi kuliko waliopelekwa Marekani na Carribean ambao ni milioni 4

Inakuwaje Marekani na Carribean kuna watu weusi wengi zaidi kuliko Uarabuni licha ya kupokea watumwa wachache?

View attachment 2371844
Umesoma kitabu gani kinacho thibitisha kuwa watumwa wengi walipelekwa uarabuni?
 
Nenda uarabuni uone waarabu weusi wenye asili ya kiafrika wapo mpaka kesho. Acha propaganda
Wapo lakini waliopelekwa uarabuni hawafiki m sitta
Watumwa kazi yao kubwa ilikuwa kulima uarabuni hawakuwa na aridhi ya kilimo ukame bali Amerika ndiko waliko pelekwa wengi sababu ya kilimo
 
Wazungu ni watu washenzi mara dufu ,mpaka kesho mtu mweusi kwao anaonekana kituko, infact nchi kama USA masuala ya ubaguzi yamepungua kasi baada ya watu weusi kulalamika sana mwishoni mwa miaka ya 80. Ila kuna majimbo mpk kesho mtu mweusi kwao anaonekana kama kioja tu.
Wazungu wanatupenda sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wazungu ni watu washenzi mara dufu ,mpaka kesho mtu mweusi kwao anaonekana kituko, infact nchi kama USA masuala ya ubaguzi yamepungua kasi baada ya watu weusi kulalamika sana mwishoni mwa miaka ya 80. Ila kuna majimbo mpk kesho mtu mweusi kwao anaonekana kama kioja tu.
Muulize mtu Mweusi wa hapa hapa Tanzania, anapenda kuishi wapi kati ya Uzunguni na Arabuni.
 
Mkuu, Tangu zamani Wazungu pamoja na kuwa waliwatumia watumwa kwa maendeleo yao lakini walikuwa na UTU.

Ikitokea Mwanamke wa kizungu amezaa na Mwanaume hata kama ni mweusi kama Mkaa lazima amtunze mwanae na ahakikishe ana maisha mazuri

Waarabu walikuwa na ROHO MBAYA na za kigaidi tangu zamani mpaka leo hii. Waliwahasi na kuwaua watu weusi

Ni Wabaguzi sana kama walivyo Wahindi.
Unajifaliji tu mtu mweupe hana urafiki na wewe
 
Mi nimeenda Oman na Saudi Arabia... Wale jamaa ni wanyama. Wanyama kabisa.. hawafai. Weusi wanafanywa zaidi ya ushetani mpaka kula kinyesi. Wanafanyiwa madhira ambayo ni aibu sisi kusimulia.maana tunaweza tengwa na watu wa dini.... So tunanyamaza kwa mengi sana. Msione kuna watu hatusemi kitu. Tunasimamia tu misingi ya dini lakini hatutaki kuabudu race ya watu.
Kweli waarabu ni watu wabaya sana wewe uzuli wako ni upi?
 
Bado tu kuna watu wanawazaga utumwa!! Tutafute hela aise, waarabu pigeni kazi, hawa tulishawazoea, na wengi wao hawana kazi za kufanya. Pigeni kazi bhabhaa
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Back
Top Bottom