Asante kwa kuongezea maarifa, nami nakazia ifuatavyoHata kugoogle hamtaki,mkilishwa propaganda mnameza na kuvimbiwa,Oman 15% ni weusi,Saudia 10%, Yemeni 12..Hawa wametoka wapi!?..wale wahindi weusi wametoka wapi!?..ati mzungu alikua na utu!!..Kama kusoma tabu tafuta movie 'twelve years a slave' uone utu wa mzungu
Europe kuna 3.3%
North America 12.6%
Brazil 7.6%
Arabs sio watu wa kutumia sana social medias na vyombo vya habari