Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Walikuwa na utaratibu wa kuwahasi watumwa waliopelekwa uarabuni enzi hizo, hata masalia ya watu wenye weusi walitokana na wao kuwazalisha wanawake weusi lakini sio vinginevyo
 
Hawa watu kila mara wanaeleweshwa lakini ubishi tu mkuu,, chuki mbaya sana.
Acha kupotosha ukweli, mwarabu alihusika sana kwenye biashara ya utumwa huku Afrika mashariki kabla hata mzungu hajaja huku Afrika mashariki.
Na mzungu ndo aliamua kuikomesha hiyo biashara ya utumwa mnamo miaka ya 1876.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wanabahati sana, ningelikua mimi ndie rais watu kama hawa ninge..liku..a najika..matia na kusw..eka.. je....l..a. Ili na wengine wenye chuki na waarabu waadabike kidogo/wajirekebishe.
Waarabu mpaka leo ni wabaguzi,
Mfano waarabu hawapendi mabinti zao waolewe na waafrika, eti utaolewaje na mtumwa?
Ila wao huwaoa waafrika na wakizaa nao waafrika huwafukuza na kuwanyang'anya watoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe muongo wa kutupwa wadanganye wengine ila siyo mimi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kinacho sikitisha ni ilikuwaje jamii karibu zote duniani zione mtu mweusi ndo wa kufanywa mtumwa? Tulijichanganya wapi?
 
Wapo Urambo Tabora
 
Duh kwa hiyo kila muislamu ampende hadi Osama sio?
 
Umesoma kitabu gani kinacho thibitisha kuwa watumwa wengi walipelekwa uarabuni?
 
Nenda uarabuni uone waarabu weusi wenye asili ya kiafrika wapo mpaka kesho. Acha propaganda
Wapo lakini waliopelekwa uarabuni hawafiki m sitta
Watumwa kazi yao kubwa ilikuwa kulima uarabuni hawakuwa na aridhi ya kilimo ukame bali Amerika ndiko waliko pelekwa wengi sababu ya kilimo
 
Wazungu wanatupenda sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Muulize mtu Mweusi wa hapa hapa Tanzania, anapenda kuishi wapi kati ya Uzunguni na Arabuni.
 
Unajifaliji tu mtu mweupe hana urafiki na wewe
 
Kweli waarabu ni watu wabaya sana wewe uzuli wako ni upi?
 
Bado tu kuna watu wanawazaga utumwa!! Tutafute hela aise, waarabu pigeni kazi, hawa tulishawazoea, na wengi wao hawana kazi za kufanya. Pigeni kazi bhabhaa
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…