Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Mambo ya historia..

Isiyo na kichwa wala miguu, watu wapo mbali wanajenga nchi zao maendeleo makubwa, technology n.k, huku watu bado wanawazaga utumwa tu. Kama nikweli yalitokea japo siamini, basi Mtu huyo aliefanya unyama huo haijalishi ni nani basi ataenda kujibu kwa Mungu.
 
Sisi weusi tumeoa wazung weng zaid kulko warab kuolew na sisi
 
Mifano ya wenye mademu wa kizungu:
Harmonize
Linex
Chindo man
Hussein machozi
Gentriz
Mad ice
Young killer
Jaymond nk[emoji120]

Naomba kutajiwa uwiano wa wawafrika/wa tz walio oa mademu wa kiarabu yan pure arab syo koko?[emoji120]
 
Bado tu kuna watu wanawazaga utumwa!! Tutafute hela aise, waarabu pigeni kazi, hawa tulishawazoea, na wengi wao hawana kazi za kufanya. Pigeni kazi bhabhaa
Utu kwanza,hizo hela za wizi haziwezi kukufikisha popote
 
Mwarabu ni mtu wa ajabu sana.
 
Idadi hiyo ni ndogo sana
 
Ujinga mtupu. Kwa hiyo muislamu hatakiwi kumchukia mwarabu? Mentality gani hii?
 
Mimi huwa nawachana laiv watu kama hao, wanaendeleza chuki na kuwaaminisha watu uongo kama waarabu ni watu wabaya, makatili n.k,
Warabu siwapendi hata wazungu pia japo mmoja naweza kumfikilia ila syo mwarabu
 
Hivi kuna jamii duniani watu wake makatili kama wabantu!! Japo sio wote.

Hivi kuna jamii watu wake wakarimu kama waarabu!! Japo sio wote, lakini wengi wao ni watu wazuri, wakarimu, wana imani n.k.

Olenimala?? Au niongee lugha ipi unielewe!!
Mwarab huficha roho mbaya tu na si ukalimu
 
Tusijidanganye kuwa itumwa umekwisha duniani, labda limebadilika jina tu, kutoka watumwa kuwa "watumishi" au "wafanyakazi".

Tazameni tovuti ya utumwa duniani leo hii:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…