Hawa Marekani na Urusi si haba wana lao tusilolijua

Hawa Marekani na Urusi si haba wana lao tusilolijua

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Yani mmarekani na urusi ni mataifa yanayoonekana maadui sana ila nimeshaanza kuhisi kuna jambo zito tunapigwa changa hapa.

Juzi puttin katest Soviet-era Voevoda ICBMs a.k.a Satan 2,ni Bomu hatari lenye uwezo wa kubeba vichwa zaid ya kumi vya nyuklia kwa umbali wa km18,000/=,lakini hili Bomu ni copy and paste ya SS-18 Satan ambalo mmarekani aliliunda enzi ya vita baridi na sasa hadi NATO wanalo.

Cha ajabu Putin juzi kajitokeza akidai maadui zake wafikirie mara mbili kuhusu Satan2 ,ikumbukwe hili Bomu Putin kumbe mwaka 2018 ,aliomba umoja wa mataifa kutest hili Bomu na akaruhusiwa na Marekani (They noted that Moscow had informed Washington ahead of Wednesday's test, as required under international agreements, and said the US had tracked the launch.

"Such testing is routine, and it was not a surprise. It was not deemed be a threat to the United States or its allies," Pentagon spokesman John Kirby said).

Akatia baraka sasa leo anakuja kusema maadui zake wafikirie mara mbili ,hao maadui ni nani?

Pili hata vita vingi ambavyo vinapigwa kwenye nchi zenye rasilimali nyingi ,mfano Syria, Iraq, Afghanistan, Jordan, Lebanon, huwa mwishowe hii mijamaa Urusi na mmarekani huishia kugawana maeneo hata kama mmoja wao kaonekana kushindwa upande anaousupport .

Nikwambie tuu Urusi utashangaa anabaki na Ukraine mashariki na the rest anabeba U.S.A
Mimi siamini kwamba hawa ni maadui bali ni matapeli na majambazi wa kimataifa,kazi yao kubwa ni kuiba rasilimali za mataifa yaliyobarikiwa, uuzaji wa silaha, uuzaji wa technology za zana za kivita, utengenezaji wa manoti hewa, utakatishaji wa pesa, uchochezi wa migogoro ya kivita,utengenezaji wa magojwa hatari ili kujipatia vipato.

Wanatudanganya tuu mfano Russia wana kampuni lao kubwa linaitwa Rosneft ambalo linamilikiwa full na serikali ila BP ana kashea,kazi ya hili kampuni ni kunyonya gesi, mafuta na mijamaa hailipi kodi ,hili kampuni liko Iraq, Syria, Iran,Jordan, Lebanon, Crimea, Kuwait, kazi kunyonya tuu wanakuuzia silaha kwa bei kubwa wakija kunyonya wese na gesi kodi matanga alafu wanakuambia tutakulinda na maadui mtu wangu.

Marekani sasa kaka mtu ndio kabisa jambazi anatumia world benk na IMF kama sehemu ya kutakatishia pesa ,anaprint dola anawapa mkopo ,mnarudishia hela halali,naye ana jikampuni linaitwa brother oil, full kunyonya tu.

Nyie shabikieni wakati hakuna mtanzania hajawahi ibiwa na hawa jamaa.

Nikwambie tuu Urusi ni kitu kimoja na USA .
 
Hii hoja ni nzito sana. Inahitaji ufukunyuz wa kiintelijensia wa kina.

Ila walau tunajua hawa watu ndio vinara wa wizi wa rasirimali za dunia kupitia siasa chafu!

Au tuseme wote ni majambaz wanaoheshimiana lakin hawaheshimi utu
 
Hii hoja ni nzito sana. Inahitaji ufukunyuz wa kiintelijensia wa kina.
Ila walau tunajua hawa watu ndio vinara wa wizi wa rasirimali za dunia kupitia siasa chafu!
Au tuseme wote ni majambaz wanaoheshimiana lakin hawaheshimi utu
Kabisa mkuu
 
Yani mmarekani na urusi ni mataifa yanayoonekana maadui sana ila nimeshaanza kuhisi kuna jambo zito tunapigwa changa hapa.
Juzi puttin katest Soviet-era Voevoda ICBMs a.k.a Satan 2...
Tafuta documentary inaitwa six sisters ndio utaijua dunia ikoje kwenye suala la mafuta.

Mafuta yote duniani niya ulaya na usa.

Wengine wote ni vibaraka..nchi yoyote itakayo enda against hilo yaan kuuza mafuta tofauti na dola..lazima iwe buried to the ground.

#MaendeleoHayanaChama
 
Halafu kitu kingine huyu jamaa myusa ana pesa sasa unajua ukiwa na pesa zinakuwa zinawashawasha.
 
Back
Top Bottom