50% Ni wenzenu [emoji849][emoji849]?!Kuna Threads nyingi sana hapa JamiiForums za Kuwazungumzia hao Mbuzi nasikitika hujazifungua ili uzisome na upate Undani wake zaidi.
Hao Mbuzi unaowana hapo 50% ni Mbuzi kweli ila 50% ni Wenzetu na hapo wapo Kazini. Sheria yao Ukimgonga Mmoja na Kumuua usikimbie au usimchukue Ukamle bali jisalimishe kwa Mmiliki wake kisha ondoka zako kinyume cha hapo Ndugu zako watakuwekea Maturubai ya Msiba Nyumbani Kwako tayari kabisa kwenda Kukuzika mazima.
Nchi ina mauzauza ya kila aina watz wengi wanaamini katika ushirikinaWapemba unawajuwa au unawasikia?
Kuna ndugu yao kafa mwezi wa pili na wao wakajibu mapigo mwezi uliofuata tarehe ileile aliyokufa ndugu yao.
Ana majin makal sanaa yanahasira yakitumwa kwako hayarud bureSerikali imshughulilie huyo mpemba au serikali inamwogopa?
Hawa mbuzi wanashangaza sana..yaani hata jeshini Lugalo huwa wanatimba fresh tu. Wanajeshi wenyewe huwa hawathubutu kuwachinja.
Hawa mbuzi π hapo mjini wanavuka barabara kama watu yaani.
Siku moja natoka karume nakutana nao abiria wakawa wanapiga story kuwa hata wakifa huwa wanaenda kuzikwa mikoani huko.
Swali langu ni hawa panya road au vibaka huwa hawawaoni au?
View attachment 2213112mh! Ukiona choo Ndotoni.......
Sikupingi, haya mambo yapo. Huku kwetu Kuna siku Niko stationary wakawa wanapita mbuzi na kondoo barabarani. Nikasema loooh Hawa mbuzi vipi mbona hawana mchungaji, si wataibiwa na vibaka?. Yule mwenye stationary alicheka akasema, "dada kamata mbuzi ata 1 apo halafu uone kimbembe chake, hutaamka mzima ww. Hao mbuzi wanatembea popote na wanarudi Kwa mwenyewe wakiwa idadi sawa kabisa. Sasa ww jichanganye. Mie mdomo ukaachia Kwa mshangao.Mimi nimemshudia kijana bodaboda amegonga hao mbuzi hakwenda kwa mwenyewe kuomba msamaha kesho yake hakuamka tumezika, ni true story.
Hao mbuzi wapo wa mpemba mmoja maeneo ya kwa Gude jet kiwalani anajurikana nao wanazurura tu.
Ukigonga hao mbuzi inabidi uende kujisalimisha kwake kinyume chake lazima parapanda litaimbwa nyumbani kwenu, hili ni jambo nimelishuhudia sijahadisiwa na mtu.
Dhana tu mlio muwekea huyo mzee lakini huwenda hakuna uhalisia wowote kama ulivyo sema.Sikupingi, haya mambo yapo. Huku kwetu Kuna siku Niko stationary wakawa wanapita mbuzi na kondoo barabarani. Nikasema loooh Hawa mbuzi vipi mbona hawana mchungaji, si wataibiwa na vibaka?. Yule mwenye stationary alicheka akasema, "dada kamata mbuzi ata 1 apo halafu uone kimbembe chake, hutaamka mzima ww. Hao mbuzi wanatembea popote na wanarudi Kwa mwenyewe wakiwa idadi sawa kabisa. Sasa ww jichanganye. Mie mdomo ukaachia Kwa mshangao.
Nilivyomaliza nikaondoka, nafika nyumbani nikaanza muelezea bi Mkubwa. Bi Mkubwa akasema, heee hao si wa Mzee Fulani, anasifika kwa uchawi, na gusa uone kama utapona. Watu wote wanamuogopa, na akitaka kuchinja mbuz mojawapo anasimama Nyumbani kwake anaita tuu [emoji3][emoji3] basi mbuzi kokote walipo wanarudi Kwa kasi Sana, anachagua amtakaye then wengine wanaendelea kutawanyika.
Duniani Kuna mambo aisee [emoji28][emoji28]. Nilichoka Kwa taarifa.
Uongo huoWale Mbuzi hawana Mwenye nao, Jichangamye uone Sasa Moto wake
Kuna Mwanangu Mmoja aligonga Mmoja, alishinda Parokiani akisali wiki nzima kujikabishi chini ya Ulinzi wa Mungu
Ndio ilikuwa pona yake
Acheni imani potofu. Hayo mambo yanatungwa na wajanja wachache kwa lengo la kuendelea kupiga pesa za wajingaSikupingi, haya mambo yapo. Huku kwetu Kuna siku Niko stationary wakawa wanapita mbuzi na kondoo barabarani. Nikasema loooh Hawa mbuzi vipi mbona hawana mchungaji, si wataibiwa na vibaka?. Yule mwenye stationary alicheka akasema, "dada kamata mbuzi ata 1 apo halafu uone kimbembe chake, hutaamka mzima ww. Hao mbuzi wanatembea popote na wanarudi Kwa mwenyewe wakiwa idadi sawa kabisa. Sasa ww jichanganye. Mie mdomo ukaachia Kwa mshangao.
Nilivyomaliza nikaondoka, nafika nyumbani nikaanza muelezea bi Mkubwa. Bi Mkubwa akasema, heee hao si wa Mzee Fulani, anasifika kwa uchawi, na gusa uone kama utapona. Watu wote wanamuogopa, na akitaka kuchinja mbuz mojawapo anasimama Nyumbani kwake anaita tuu [emoji3][emoji3] basi mbuzi kokote walipo wanarudi Kwa kasi Sana, anachagua amtakaye then wengine wanaendelea kutawanyika.
Duniani Kuna mambo aisee [emoji28][emoji28]. Nilichoka Kwa taarifa.
Tusiandikie mate, chukuwa mmoja chinja utapata majibu yake.Dhana tu mlio muwekea huyo mzee lakini huwenda hakuna uhalisia wowote kama ulivyo sema.
Ndiyo ni njia ya kujipatia pesa. Lakini anatumia nini?. Si hayo hayo mauchawi?. Acha kuchukulia vi2 simple kama hayajawahi kukukuta khaa [emoji3]Acheni imani potofu. Hayo mambo yanatungwa na wajanja wachache kwa lengo la kuendelea kupiga pesa za wajinga
Mshukuru Mungu kama hayajawahi kukukuta mkuu....Dhana tu mlio muwekea huyo mzee lakini huwenda hakuna uhalisia wowote kama ulivyo sema.
Unaweza kuwepo huo ushirikina lakini kwa kiasi kikubwa tumeupa attention isio stahili na kujikuta tunaogopa visivyo stahili kuogopwa.Mshukuru Mungu kama hayajawahi kukukuta mkuu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzi wa shekhe hao mkuu, jichangaje uanze kulia kama mbuzi