Hawa mbuzi wanaozagaa maeneo ya Mbezi Tangibovu ni wa Serikali?

Hawa mbuzi wanaozagaa maeneo ya Mbezi Tangibovu ni wa Serikali?

Hawa mbuzi wanashangaza sana..yaani hata jeshini Lugalo huwa wanatimba fresh tu. Wanajeshi wenyewe huwa hawathubutu kuwachinja.

Hawa mbuzi [emoji238] hapo mjini wanavuka barabara kama watu yaani.
Siku moja natoka karume nakutana nao abiria wakawa wanapiga story kuwa hata wakifa huwa wanaenda kuzikwa mikoani huko.

Swali langu ni hawa panya road au vibaka huwa hawawaoni au?

View attachment 2213112
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mamam mmoja nae utaratibu wake akitoka kazini mchana kama sa 9 anafungua geti anawaachia mbuzi wanaenda kuzurula barabarani huko , mbuzi walikuwa wanabandua na kula matanagazo ya tigo pesa yale pepsi etc.

Mbuzi wana tembea kati kati ya barabara kuu ,
Ikigika jioni kama sa 12 :30 mbuzi wanagonga geti wafunguliwe , mbuzi wanaita meeee , yule mama ndio anawafungulia

Siku nyingjne aspokuwepo muzi hadi sa 1 usiku wanazurala road..

Yeye alikuja kuibiwa mbuzi wote kwa mkupuo siku moja aliuowafungulia..
Na aliibiwa kipindi ambacho mme wake nae alikuwa kapotea nyumbani kwenye mazingira ya kutatanisha
Kheeeeeeh.
 
Sikupingi, haya mambo yapo. Huku kwetu Kuna siku Niko stationary wakawa wanapita mbuzi na kondoo barabarani. Nikasema loooh Hawa mbuzi vipi mbona hawana mchungaji, si wataibiwa na vibaka?. Yule mwenye stationary alicheka akasema, "dada kamata mbuzi ata 1 apo halafu uone kimbembe chake, hutaamka mzima ww. Hao mbuzi wanatembea popote na wanarudi Kwa mwenyewe wakiwa idadi sawa kabisa. Sasa ww jichanganye. Mie mdomo ukaachia Kwa mshangao.

Nilivyomaliza nikaondoka, nafika nyumbani nikaanza muelezea bi Mkubwa. Bi Mkubwa akasema, heee hao si wa Mzee Fulani, anasifika kwa uchawi, na gusa uone kama utapona. Watu wote wanamuogopa, na akitaka kuchinja mbuz mojawapo anasimama Nyumbani kwake anaita tuu [emoji3][emoji3] basi mbuzi kokote walipo wanarudi Kwa kasi Sana, anachagua amtakaye then wengine wanaendelea kutawanyika.

Duniani Kuna mambo aisee [emoji28][emoji28]. Nilichoka Kwa taarifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kila mkoa/wilaya wapo wa hivyo, sijui huwa wanaambizana, khaaaah
 
Hao itakua wa yule Mama wa kupemba wa pale goigi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mbuzi wanalala barabarani na hawana habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo wasitake kuingia gate la chuo, watu wakawahi kuziba gate, wakapitiliza kuelekea mawasiliano, mweeeeeh
 
JF
Kwa kweli nimekuwa nikipata shida sana kuona mbuzi Hawa wanazagaa barabarani hovyo wakati Sheria za kutunza wanyama zipo wazi.

Je wale ni wa Serikali au? Kwasababu najua kabisa wangekuwa wa mtu binafsi wangeshakamatwa zamani na kutozwa faini.

Nani au Mamlaka gani ya Serikali inawajibika kusimamia wanyama wale inaleta mawazo mabaya kuichafua Serikali kwa vitu vidogo kama vile eti vimeshindikana na vimeachwa holela tu.

Naomba wahusika wawajibishwe haraka iwezekanavyo kwa sababu mbuzi Hawa wanaishi barabarani zaidi ya miaka mitano na ushee..

Pia, soma=> Mbuzi wanaozurura mijini ni wa nani? Inakuwaje hawaibwi na vibaka na hurudi nyumbani hata km 10 wenyewe?
Mkuu hao sio mbuzi ni watu bob, wengi huwa wametolewa kafala na wafanyabiashara na wanasiasa. Na waliwatoa kafala wapo kwenye hizo mansions za Mbezi Beach. Ndio maana huwezi kuwakuta Temeke hao au Chanika. N serikali inafahamu na wenye hao mandondocha huwa wanawajua hali mara kwa mara.
 
Ndiyo ni njia ya kujipatia pesa. Lakini anatumia nini?. Si hayo hayo mauchawi?. Acha kuchukulia vi2 simple kama hayajawahi kukukuta. Mtoa mada anahitaji ushauri na si bla bla zako za maneno ya dhahania tu khaaa[emoji3]
Usinilazmishe kuamini mambo ya kitapeli. Huo siyo uchawi, na hao mbuzi hawana uhusiano wowote na uchawi.

Tatizo mmeshaaminishwa uchawi. Najua ugumu unaoupata kukubali kuwa hakuna hayo mambo bali ni utapeli tu.
 
Mbuzi wengi mjini wanavutiwa sana na Magari,
Haiwezekani mitaa yote ya kuzurla wasiione waende kupuyanga katikati ya barabara kuu..

Mbizi gani wakiziona ist, vitz na starlet wanazicheka ? Muda mwingine hata kuyapisha hayo magari hawataki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kila mkoa/wilaya wapo wa hivyo, sijui huwa wanaambizana, khaaaah
[emoji23][emoji23] Kuna watu wanajiamini. Lakini Cha kushangaza kufa wanakufa siku yao ikifika.
 
Kuna mamam mmoja nae utaratibu wake akitoka kazini mchana kama sa 9 anafungua geti anawaachia mbuzi wanaenda kuzurula barabarani huko , mbuzi walikuwa wanabandua na kula matanagazo ya tigo pesa yale pepsi etc.

Mbuzi wana tembea kati kati ya barabara kuu ,
Ikigika jioni kama sa 12 :30 mbuzi wanagonga geti wafunguliwe , mbuzi wanaita meeee , yule mama ndio anawafungulia

Siku nyingjne aspokuwepo muzi hadi sa 1 usiku wanazurala road..

Yeye alikuja kuibiwa mbuzi wote kwa mkupuo siku moja aliuowafungulia..
Na aliibiwa kipindi ambacho mme wake nae alikuwa kapotea nyumbani kwenye mazingira ya kutatanisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pep
 
Mbuzi wengi mjini wanavutiwa sana na Magari,
Haiwezekani mitaa yote ya kuzurla wasiione waende kupuyanga katikati ya barabara kuu..

Mbizi gani wakiziona ist, vitz na starlet wanazicheka ? Muda mwingine hata kuyapisha hayo magari hawataki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani mnaweza kuona kuwa ni mbuzi kumbe ni misukule iyo wenye misukule yao wamekufa so ikabadilishwa izagae huko ijitafutie mkate wa kila siku sasa embu thubutu uchinje ule utaona shuhuri yake
 
Sikupingi, haya mambo yapo. Huku kwetu Kuna siku Niko stationary wakawa wanapita mbuzi na kondoo barabarani. Nikasema loooh Hawa mbuzi vipi mbona hawana mchungaji, si wataibiwa na vibaka?. Yule mwenye stationary alicheka akasema, "dada kamata mbuzi ata 1 apo halafu uone kimbembe chake, hutaamka mzima ww. Hao mbuzi wanatembea popote na wanarudi Kwa mwenyewe wakiwa idadi sawa kabisa. Sasa ww jichanganye. Mie mdomo ukaachia Kwa mshangao.

Nilivyomaliza nikaondoka, nafika nyumbani nikaanza muelezea bi Mkubwa. Bi Mkubwa akasema, heee hao si wa Mzee Fulani, anasifika kwa uchawi, na gusa uone kama utapona. Watu wote wanamuogopa, na akitaka kuchinja mbuz mojawapo anasimama Nyumbani kwake anaita tuu [emoji3][emoji3] basi mbuzi kokote walipo wanarudi Kwa kasi Sana, anachagua amtakaye then wengine wanaendelea kutawanyika.

Duniani Kuna mambo aisee [emoji28][emoji28]. Nilichoka Kwa taarifa.
hizi speculation ndio zinafanya hawa mbuzi waendelee kuzagaa ajabu ukienda morogoro wapo ukienda tanga wapo ukienda mbagala wapo ukienda kimara wapo ukienda kinondoni wapo yani kila mahali so hao wachawi wako kote huko
 
wakat tunakua mtaan kuna mzee mmoja ana busha yeye anambuz zaid ya 50 na wanakaa nje tu hawana banda sku moja wahun wakajichanganya wakawapakia kwenye fuso uko uko wanapojchunga wakasepa nao wanafka maeneo ya Tinde kwa mbele dereva na wenzake kwenye kibn wanasikia saut za watu kama zile gar za kwenda kwenye minada yan fuso imeshona watu wanapga miluz na kucheka ile kusmama waangalie wanakuta fuso imejaa masela hatar uko nyuma [emoji23] kilchofata sjui kwakwel

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom