Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tulia basi na wewe mbona unazidi kuniaibishaTangu Jana naiona hyo tecno whatever....
Nahis system imelemewa na tecno zipo nyngi sana hadi inasahau ni tecno gani[emoji3][emoji16][emoji23]
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Tuliza shanga[emoji2] [emoji2] [emoji2] tulia basi na wewe mbona unazidi kuniaibisha
"Tecno Whatever "
Enhee nifahamishe mkuuMimi binafsi nakuamin.unajua kwanini
Pole Joseverest walimwengu wana mengi.Kweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELI
Ushahidi mwingine wa matumizi ya Tecno huu dah [emoji2] huwezi shika I phone ukatukana watuTuliza shanga
pamoja ndugu aiseePole Joseverest walimwengu wana mengi.
Wasamehe bure.
Endelea na moyo wako Wa pekee.
Hahaha hii Kali ya mwaka
Nimecheka sana.
heheh kwahiyo hapo ni mtu mmoja?
hahahaa mkuu upo makini sana kuchunguza 🙂Wewe nawe hapa kwenye signature umetupiga fix.. Send from? Hii umeandika mwenyewe teh teh
"Tecno Whatever "
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Lol,Haaaaa
Send from my IPhone 6 using Jamii forum mobile app
Loh!!acha mambo yako bhana kwani kila mtu ni lazima ajue!!!Enhee nifahamishe mkuu