Hawa Members Maarufu kwa Fix/Kamba/Uongo, Ubishi na Kuwa wa Kwanza ku Comment

Hawa Members Maarufu kwa Fix/Kamba/Uongo, Ubishi na Kuwa wa Kwanza ku Comment

Tangu Jana naiona hyo tecno whatever....
Nahis system imelemewa na tecno zipo nyngi sana hadi inasahau ni tecno gani[emoji3][emoji16][emoji23]



Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tulia basi na wewe mbona unazidi kuniaibisha

"Tecno Whatever "
 
Haya

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu, huko mimi sihusiki labda kama kuna mtu amemlenga...sijawahi kulalamika na sitakaa nilalamike...Sijawahi kumuuliza mtu kuhusu hiyo ishu, wao wananiambia..."Leo umechelewa, leo wamekuwahi...Leo sikuoni pale juu" n.k huwa nawaambia JF sio yangu ni ya kila mtu kwa hiyo wasikariri..Hili nina ushahidi nalo kabisa...Hayo mambo sijui ya kushindana na mtu sijawahi na kuna wanaosema "kila thread au jukwaa zote we jamaa upo" hili jambo sio kweli kwa maana kuna majukwaa huwa siingii kabisa...lakini kuna wanaokuja kukuzushia we jamaa kila jukwaa na kila thread upo KITU AMBACHO SIO SAHIHI KWA KWELI
Pole Joseverest walimwengu wana mengi.
Wasamehe bure.
Endelea na moyo wako Wa pekee.
 
9560f4b579f6cb65c85290545077e83d.jpg
Hahaha hii Kali ya mwaka
 
Hahaha!eti jamaa ana ID 2,anazunguka upande wa pili kujisapot mwenyewe.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nmecheka aisee kuna watu wanazngua knoma

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Sureeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Kumbe wajinga wengi umu,wanaifanya mambo ya kitoto!?
 
Back
Top Bottom