Tangu wenzake (Five Star) wapate ajali na yeye amesusa kabisa kuimba taarabu.
Gaucho ndio Soka lenyewe na Soka ndio Gaucho mwenyewe,so asiempenda Gaucho hapendi wala hajui Soka. Kuna watu wawili humu ndani i.e Aleyn na PNC 1 hawajui Mpira/Soka bali wanamfahamu Messi tuu.
Kucheza na ndinga kivip mkuu na mambo adimu yapi hayo maana hata mechi ya juz jumamosi yale mambo messi aliyofanya sio adimu au na bayern sio adimu NIELEWESHE MKUU ADIMU KIVP NA KUCHEZA NA NDINGA KIVPTukizungumzia ufundi wa kucheza na ndinga na kufanya mambo adimu, Gaucho hana mpinzani....Mfalme fundi wa Soka
Ata mimi nasema Gaucho kiboko yao,sijawai kuona wala kusikia mtu anayejua mpila kama yeye..
Barca ilipigwa goli nne na Messi akiwa uwanjani....hii ushtukii??ha ha ha ha ha ha ha nabii wa uongo LEO MESSI mzaliwa wa Rosario Argentina anayesubiria balon dor ya 5 anakuwa amechukua mara mbili zaid ya pele na mara 3 zaid ya dinho ambaye juzi timu yake imepigwa 5 bila na Santos laguna ya mexico huku yeye akiwepo uwanjani
Arsenal mbona siwaoni humo?!!!!!
Barca ilipigwa goli nne na Messi akiwa uwanjani....hii ushtukii??
utabiri wako katika fainali hizi za uefa ni timu ipi itabeba ubingwa?
wakikupa majibu naomba unitumie na mimi mkuu, nimejaribu kutafuta mtandaoni kwa kutumia search engine zote kuanzia bing to google zote hazina majibu "why arse8 have no ucl tittle"
mkuu hebu tujuze mimi na Aleyn vitu ambavyo messi hana na gaucho anavyo maana umesahau kuwa ulishasemaga ukitajiwa kuwa tangu dinho awr barca ni kombe gani ambalo messi katwaa na yeye dinho hajatwaa na ukasema ukitajiwa hayo utafunga mkataba kuwa messi ni bora zaidi ya dinho ila leo umesahau mkuu TUNASUBIRI KUJUZWA
Messi amewahi kuchukua World Cup yoyote ile hata ile ya u17 au u20?
Iniesta,Busquets,Xavi,Pique,Pedro na Alba(wakiwa kama FC Barcelona) wapo wamebeba makombe yote dunia,ulaya,klabu bingwa ulaya,klabu bingwa dunia,sasa nitajiena mchezaji gani wa AC Milan yoyote wa sasa kabeba makombe hayo yote,muulizeni hata anti-Messi Gang Chomba nae awasaidie mana najua yeye ndie kachokonoa ila kupitia mlango wa uani.Messi amewahi kuchukua World Cup yoyote ile hata ile ya u17 au u20?
Maskini AssesNo.....
arsenal wapo column ya nnewako wapi Arsenal?
mkuu hebu tujuze mimi na Aleyn vitu ambavyo messi hana na gaucho anavyo maana umesahau kuwa ulishasemaga ukitajiwa kuwa tangu dinho awr barca ni kombe gani ambalo messi katwaa na yeye dinho hajatwaa na ukasema ukitajiwa hayo utafunga mkataba kuwa messi ni bora zaidi ya dinho ila leo umesahau mkuu TUNASUBIRI KUJUZWA