Kiss fm baba...nmeksomaDj Jeff Jerry, Dj Maliz, Dj Simba, Dj Devi. Hakuna madj kama hao tena popote
Na bado list yake haijakamilika sababu sijaona hapo jina DJ NellyKaka lisit yako haitokuwa correct km umemuacha DJ O
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Dj Mafuvu akirudi E. A Radio bas wao watamchukua Dj SammerMafuvu baby hiki ni kizazi cha sasa ambacho hakuna dj atakaemfunika....mengi turudishie mafuvu wetu na ivi planetbongo ipo jumatatu mpaka ijumaa xxl wangeisoma namba.....
Kwa Djs wa kizazi kipya haitakaa itokee kwa hao madj wa Kiss Fm Mwzkwel mkuu nafikirh hii n kasumba t imejengeka kuwa dj's wazur wapo Dar t ktu ambacho sio kwel,m naamin ktk station za radio zote bongo hakuna kituo chenye team nzuri yamadj wakal zaid ya kiss fm mwanza dah jmaa wakal sn hao kna dj maliz,ray,simba,jeffjerry na aleco
Masikin kaachwa na Joyce kiria,kaachwa na Shasha Kidoti mpk anaenda kjlipia mahar ya 40 ml na mzungu,kwel ney aliimba sawasawa kuhusu huyu jamaaaNa bado list yake haijakamilika sababu sijaona hapo jina DJ Nelly
Kuna yule DJ wa ukawa mbona mmemsahau?
Uzalendo mkuu kwa kuwa ni dj wa hapa hapa hom!
Duh!, Steve b huwezi mlinganisha D ommy.. ukiachilia mbali kuwa legendary lakin bado Steve b sio dj wa daraja moja na D ommy, ni sawa na Roma umlinganishe na Pro. JayUkiacha kuweka play list nzur ya muzik,hv steve b ana sifa gan za zaid il na yy tumfanye km reference ya dj wakal bongo? nionavyo mm steve b anafunikwa mno na dj d ommy kwa sasa
Huyo Ommy crazy ndo huwa simuelewi kabsa.. kichaa si kichaa.. mwehu si mwehu..Alikuwepo mmoja alikuwa anaitwa DJ mafuvu baada ya hapo akarithi DJ ommy crazy
Vipaji kama hivyo dzain ya Maliz ndo vinakufa kusiko julikana, inaskitisha sanaKatika ma DJ wote Tanzania wanaopiga kwenye radio nyimbo za flash back hamna anaye mfikia DJ maliz jamaa anajua sana kupangilia ngoma,sasa hivi sijui huko wapi?
Fatu ndo nani?.Sanaa ya bongo ina mambo mengi ya ki K yan mpaka fatu leo kawa Dj
Si huyo Fetty anaetajwa humuFatu ndo nani?.
Acha kebehi wewe [emoji115]Kuna DJ Mbowe wa CHADEMA fm