Hawa ndio MaDj wakali zaidi Tanzania

Hawa ndio MaDj wakali zaidi Tanzania

Mafuvu baby hiki ni kizazi cha sasa ambacho hakuna dj atakaemfunika....mengi turudishie mafuvu wetu na ivi planetbongo ipo jumatatu mpaka ijumaa xxl wangeisoma namba.....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Dj Mafuvu akirudi E. A Radio bas wao watamchukua Dj Sammer
 
kwel mkuu nafikirh hii n kasumba t imejengeka kuwa dj's wazur wapo Dar t ktu ambacho sio kwel,m naamin ktk station za radio zote bongo hakuna kituo chenye team nzuri yamadj wakal zaid ya kiss fm mwanza dah jmaa wakal sn hao kna dj maliz,ray,simba,jeffjerry na aleco
Kwa Djs wa kizazi kipya haitakaa itokee kwa hao madj wa Kiss Fm Mwz
 
Na bado list yake haijakamilika sababu sijaona hapo jina DJ Nelly
Masikin kaachwa na Joyce kiria,kaachwa na Shasha Kidoti mpk anaenda kjlipia mahar ya 40 ml na mzungu,kwel ney aliimba sawasawa kuhusu huyu jamaaa
 
Kanda ya Ziwa kuna Radio inaitwa JEMBE FM ,aisee hapo kuna DJ's wa hatar sijaona TZ yote
DJ JACKO
DJ SCORPION
DJ K_FLIP
 
Ukiacha kuweka play list nzur ya muzik,hv steve b ana sifa gan za zaid il na yy tumfanye km reference ya dj wakal bongo? nionavyo mm steve b anafunikwa mno na dj d ommy kwa sasa
Duh!, Steve b huwezi mlinganisha D ommy.. ukiachilia mbali kuwa legendary lakin bado Steve b sio dj wa daraja moja na D ommy, ni sawa na Roma umlinganishe na Pro. Jay
 
Dah!. kweli aisee, the late Lankim ramadhan pia na Ray C enzi hizo
 
Dj Mafuvu
Dj Zero
Dj Mubbah

Hawa ndio ma dj wangu bora duniani ukimtoa Dj Khaleed
 
Katika ma DJ wote Tanzania wanaopiga kwenye radio nyimbo za flash back hamna anaye mfikia DJ maliz jamaa anajua sana kupangilia ngoma,sasa hivi sijui huko wapi?
Vipaji kama hivyo dzain ya Maliz ndo vinakufa kusiko julikana, inaskitisha sana
 
Back
Top Bottom