Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humjui mzee wa kiminyioHuu sasa utani, 43 utacheza mpira dk 90 kweli ?
Hakosi 41 huyoJuma Kaseja umri wake halisi ni upi?
Kaseja kastafu ni kocha kagera1.Kisiga,Agrey,Henry Joseph hawachezi tena mzee baba,
Salum Kanoni bado anakipiga mbona hatumuoni......wenzake wa umri mmoja walishatundiga daluga zamani waliocheza nae Kigoma united enzi za Reli na MMabanga.....wadogo wakina Matola na Said Maulid,Juma Kaseja.
Ila Kaseja ana udongo mzuri mzee haonekani kuzeeka kabisa sijui bado yupo Kmc....kuna siku ndugu yake yupo SA alimtumia hela jamaa akaja kijiweni kuchukua bado anadai kabisa.
Kaseja ana 38,,saivi ni kocha wa makipa kagera sugarJuma Kaseja umri wake halisi ni upi?
Sina maneno mengi...
15.Haruna Shamte--Geita(35)
Kuzaliwa 1988.
--Simba,Lipuli,Namungo
14.Benjamin Asukile.--Prison(35)
Kuzaliwa 1988
13.Erasto Nyoni-simba (35)
Kuzaliwa 1988
--azam,vital'o
12.Amis Tambwe -SBs(35)
Kuzaliwa 1988
-simba,Yanga
11..Salumu kanoni--Mtibwa(35)
Kuzaliwa 1988
-- Simba
10.Zawadi mauya--
Kuzaliwa 1988
Yanga(35)
--kagera sugar,Lipuli
9..Sureboy--Yanga(35)
Kuzaliwa 1988
--Azam
9..Ramadhani Chombo--
Poisi(36)
Kuzaliwa 1987
--Simba,Geita,Biashara
8.Saido Ntibazonkiza--Simba(36)
Kuzaliwa 1987
--Yanga,Geita
7.Medie kagere--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba
6..Serge Pascal wawa--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba ,Azam
5.Henry Joseph--
Mtibwa(38)
Kuzaliwa 1985
--Simba,Pamba
4..Agrey moris--Azam(39)
Kuzaliwa 1984
--Prison
3.Kelvin Yondani--Geita Gold(39)
Kuzaliwa 1984
--Polis,Simba, Yanga
2.Juma nyoso- Ihefu(40)
Kuzaliwa 1983
--Ashanti,Simba,Mbeya city,kagera,Geita .
1.Shabani Kisiga--TanPrisoni(43)
Kuzaliwa 1980
--Simba,Ruvushooting,Mbeya city
Mbona nimeandika SBs-(Singida Bigstars) hyo Azam na Simba amewahi kupita piaHivi wawa yupo Azam au Singida?
Ok, nimeona, kumradhi...Mbona nimeandika SBs-(Singida Bigstars) hyo Azam na Simba amewahi kupita pia
Hapana kapombe alianza Simba 2011 akiwa U20 hadi 2013 akaenda Cean ya frech na 2014 akajiunga na Azam ,,,2017 akarudi Simba.....K
ni maku umeandika kishabiki,kapombe hana umri huo,acha utopolo
Kapombe kachezea weee Azam,kaenda Simba 2012,Leo imepita miaka 11 tangu awe Simba,kule Azam alicheza akiwa na umri gani!?..haipungui 23
Na alikua u20 ya stars kipindi hicho na akina kigi makasi,,Mrisho ngasa,Said DilungaK
imeshangaa kuona Henry Joseph, Shaban Kisiga kwamba wangali wanasukuma gozi...
Kwamba nyoni wakati anaifunga Burkina Faso 2006 alikua na miaka 18!?..acheni utani jamani
Kaka nyoni kipindi Cha rolling star anadai alikuwa na 16 tu,,,usishangae Redondo Kuna mtu anaitwa Boban hajafika 40 tu had Leo hii hata akina Salum Swed na said Swed Wana 39-41 tu,,,mecky &matola Wana 45 hii nchi ngumu Sana...Dauti yangu ipo kwa Erasto Nyoni. Jamaa kipindi yupo Rolling stone na akaenda kucheza Burundi sisi tulikuwa shule ya msingi, ila leo eti ana 35. Erasto Nyoni apewe miaka 40
Ramadhani Chombo pia apewe 43, ona hata ngozi yake ya usoni imezeeka.
Henry Joseph Shindika apewe 45.
Hakuna ubaya kucheza ukiwa una umri mkubwa. Mbona Ibrahimovic anapiga magoli akiwa ana miaka 42. Suala ni kujitunza tu!
Hahahaa huu umri sio kweli. Juma Kaseja alicheza misimu mitatu Moro United ikiwa ligi kuu kabla ya kusajiriwa Simba mwaka 2003. Je, ni kweli kwamba alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 15 mwaka 2000?Kaseja ana 38,,saivi ni kocha wa makipa kagera sugar
Sina maneno mengi...
15.Haruna Shamte--Geita(35)
Kuzaliwa 1988.
--Simba,Lipuli,Namungo
14.Benjamin Asukile.--Prison(35)
Kuzaliwa 1988
13.Erasto Nyoni-simba (35)
Kuzaliwa 1988
--azam,vital'o
12.Amis Tambwe -SBs(35)
Kuzaliwa 1988
-simba,Yanga
11..Salumu kanoni--Mtibwa(35)
Kuzaliwa 1988
-- Simba
10.Zawadi mauya--
Kuzaliwa 1988
Yanga(35)
--kagera sugar,Lipuli
9..Sureboy--Yanga(35)
Kuzaliwa 1988
--Azam
9..Ramadhani Chombo--
Poisi(36)
Kuzaliwa 1987
--Simba,Geita,Biashara
8.Saido Ntibazonkiza--Simba(36)
Kuzaliwa 1987
--Yanga,Geita
7.Medie kagere--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba
6..Serge Pascal wawa--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba ,Azam
5.Henry Joseph--
Mtibwa(38)
Kuzaliwa 1985
--Simba,Pamba
4..Agrey moris--Azam(39)
Kuzaliwa 1984
--Prison
3.Kelvin Yondani--Geita Gold(39)
Kuzaliwa 1984
--Polis,Simba, Yanga
2.Juma nyoso- Ihefu(40)
Kuzaliwa 1983
--Ashanti,Simba,Mbeya city,kagera,Geita .
1.Shabani Kisiga--TanPrisoni(43)
Kuzaliwa 1980
--Simba,Ruvushooting,Mbeya city
Kaka nyoni kipindi Cha rolling star anadai alikuwa na 16 tu,,,usishangae Redondo Kuna mtu anaitwa Boban hajafika 40 tu had Leo hii hata akina Salum Swed na said Swed Wana 39-41 tu,,,mecky &matola Wana 45 hii nchi ngumu Sana...
Usishangae kukuta haji manara kuwa mwaka sawa na Sunday manar
Said swedi scud ana miaka 54 nimewahi kumuandikia kadi yake ya Nhif amezaliwa 1968...labda kama ni Saidi Swedi mwingine sio huyo Scud aliyechezea Yanga....Matola mwenyewe wadogo zake ni Mababu.Kaka nyoni kipindi Cha rolling star anadai alikuwa na 16 tu,,,usishangae Redondo Kuna mtu anaitwa Boban hajafika 40 tu had Leo hii hata akina Salum Swed na said Swed Wana 39-41 tu,,,mecky &matola Wana 45 hii nchi ngumu Sana...
Usishangae kukuta haji manara kuwa mwaka sawa na Sunday manara
Kaseja ni mkubwa sana kiumri.....sema mwili mkavu ndio unambeba.Hahahaa huu umri sio kweli. Juma Kaseja alicheza misimu mitatu Moro United ikiwa ligi kuu kabla ya kusajiriwa Simba mwaka 2003. Je, ni kweli kwamba alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 15 mwaka 2000?
sio kweli..kisiga hayupo prisonsNimeshangaa kuona Henry Joseph, Shaban Kisiga kwamba wangali wanasukuma gozi...
Wachezaji wengi wa ki-Afrika unapaswa kuongeza umri wa miaka usiopungua miaka 3 katika umri wa anaoweka kwenye nyaraka zake. Hii ndio kanuni ya siri wanayotumia vilabu vingi barani kwa sasa.Kaseja ni mkubwa sana kiumri.....sema mwili mkavu ndio unambeba.