Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

1.Kisiga,Agrey,Henry Joseph hawachezi tena mzee baba,

Salum Kanoni bado anakipiga mbona hatumuoni......wenzake wa umri mmoja walishatundiga daluga zamani waliocheza nae Kigoma united enzi za Reli na MMabanga.....wadogo wakina Matola na Said Maulid,Juma Kaseja.

Ila Kaseja ana udongo mzuri mzee haonekani kuzeeka kabisa sijui bado yupo Kmc....kuna siku ndugu yake yupo SA alimtumia hela jamaa akaja kijiweni kuchukua bado anadai kabisa.
Kisiga yupo prisons mkuu na huwa anacheza
 
Ila Kaseja ana udongo mzuri mzee haonekani kuzeeka kabisa sijui bado yupo Kmc....kuna siku ndugu yake yupo SA alimtumia hela jamaa akaja kijiweni kuchukua bado anadai kabisa.

Kaseja ni kama mchezaji huru...

Ingawa kwa sasa anafanya kozi za ukocha na ni kocha wa makipa Kagera...
 
umewasahahu
kapombe 37
zimbwe 34
mkude 35
boko 43
ntibazonkiza 42
nyoni 45
kibu denis 42
onyanga 43
baleke 37
phiri 34
chama 39
mzamiru 38
Mbona umepika data sana?
Nimeingia Wikipedia ya chama na Boko hapo umeandika uongo tupu
 
Attachments

  • Screenshot_20230401-174950.jpg
    Screenshot_20230401-174950.jpg
    53.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230401-175024.jpg
    Screenshot_20230401-175024.jpg
    76 KB · Views: 3
Wakulungwa wanasema yupo wajelajela...

Huwa sitazami mpira wa bongo kwa sasa zaidi ya kuufuatilia mitandaoni, hivyo sina uhakika
hayupo ligi kuu mkuu, tuko nae kwenye ndondo
 
Onyango anakosaje hapo wakati jana kacheza usiku akawa anasinzia
 
1.Kisiga,Agrey,Henry Joseph hawachezi tena mzee baba,

Salum Kanoni bado anakipiga mbona hatumuoni......wenzake wa umri mmoja walishatundiga daluga zamani waliocheza nae Kigoma united enzi za Reli na MMabanga.....wadogo wakina Matola na Said Maulid,Juma Kaseja.

Ila Kaseja ana udongo mzuri mzee haonekani kuzeeka kabisa sijui bado yupo Kmc....kuna siku ndugu yake yupo SA alimtumia hela jamaa akaja kijiweni kuchukua bado anadai kabisa.
Kisiga yupo anacheza ndugu Tanzania Prison. Mpira ni nidhamu ya mwili na akili.
 
N
alikua u20 ya stars kipindi hicho na akina kigi makasi,,Mrisho ngasa,Said Dilunga
Nurdin bakari hakuwemo!?..maana Serengeti 2004 alituponza tukapokwa nafasi,alikua na 23 kwa nyaraka za Simba alizotumia CAF, Serengeti akawa na 17
 
Hapana kapombe alianza Simba 2011 akiwa U20 hadi 2013 akaenda Cean ya frech na 2014 akajiunga na Azam ,,,2017 akarudi Simba.....
Kati ya watu naamini miaka yao bongo ni kapombe 31,ni haki yake
We unaamini hizo under 20 za Simba,yanga , Azam ni za kweli!?
 
N
alikua u20 ya stars kipindi hicho na akina kigi makasi,,Mrisho ngasa,Said Dilunga
Nurdin bakari hakuwemo!?..maana Serengeti 2004 alituponza tukapokwa nafasi,alikua na 23 kwa nyaraka za Simba alizotumia CAF, Serengeti akawa na 17
Hapo ingepita kipimo walikua wanaumbuka wote
 
Haahaaaaa, hii list umeamua tu kutania ila sidhami kama hao wana umri huo. Kapombe namuona 2009 au 2010 akiwa Moro kids then akasajiliwa Simba Msimu huo mi nikiwa SUA pale Morogoro hawezi kuwa na umri huo. Mi mwenyewe na 36 then kapombe awe na umri huo. Hapana bro.
Alikuwa anasoma Lupanga SS miaka ya 2000 katikati kabla hakahamia Dar kisoka
Jamaa Bado umri
 
Back
Top Bottom