Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

Kaka nyoni kipindi Cha rolling star anadai alikuwa na 16 tu,,,usishangae Redondo Kuna mtu anaitwa Boban hajafika 40 tu had Leo hii hata akina Salum Swed na said Swed Wana 39-41 tu,,,mecky &matola Wana 45 hii nchi ngumu Sana...
Usishangae kukuta haji manara kuwa mwaka sawa na Sunday manara
Redondo mwaka 1998 alikuwa darasa la nne shule ya msingi Mgulani. Piga hesabu makadirio ya umri wake.
 
Hapana kapombe alianza Simba 2011 akiwa U20 hadi 2013 akaenda Cean ya frech na 2014 akajiunga na Azam ,,,2017 akarudi Simba.....
Kati ya watu naamini miaka yao bongo ni kapombe 31,ni haki yake
Kapombe ni 33.au 34.amesoma na mdogo wangu Moro Sec.
 
Back
Top Bottom