Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

K
ni maku umeandika kishabiki,kapombe hana umri huo,acha utopolo
Kapombe kachezea weee Azam,kaenda Simba 2012,Leo imepita miaka 11 tangu awe Simba,kule Azam alicheza akiwa na umri gani!?..haipungui 23
 
Kaseja kastafu ni kocha kagera
Kanoni ameorodheshwa no 11.
Pia kisiga bado anacheza kabisa refer mechi ya prison na Yanga aliasist goal la Elifadhili...
Akina agrey wamestaafu katikati ya msimu majina yao bado yapo kwenye list Tff
 

Hivi wawa yupo Azam au Singida?
 
K
ni maku umeandika kishabiki,kapombe hana umri huo,acha utopolo
Kapombe kachezea weee Azam,kaenda Simba 2012,Leo imepita miaka 11 tangu awe Simba,kule Azam alicheza akiwa na umri gani!?..haipungui 23
Hapana kapombe alianza Simba 2011 akiwa U20 hadi 2013 akaenda Cean ya frech na 2014 akajiunga na Azam ,,,2017 akarudi Simba.....
Kati ya watu naamini miaka yao bongo ni kapombe 31,ni haki yake
 
K
imeshangaa kuona Henry Joseph, Shaban Kisiga kwamba wangali wanasukuma gozi...
Kwamba nyoni wakati anaifunga Burkina Faso 2006 alikua na miaka 18!?..acheni utani jamani
Na alikua u20 ya stars kipindi hicho na akina kigi makasi,,Mrisho ngasa,Said Dilunga
 
Dauti yangu ipo kwa Erasto Nyoni. Jamaa kipindi yupo Rolling stone na akaenda kucheza Burundi sisi tulikuwa shule ya msingi, ila leo eti ana 35. Erasto Nyoni apewe miaka 40

Ramadhani Chombo pia apewe 43, ona hata ngozi yake ya usoni imezeeka.

Henry Joseph Shindika apewe 45.

Hakuna ubaya kucheza ukiwa una umri mkubwa. Mbona Ibrahimovic anapiga magoli akiwa ana miaka 42. Suala ni kujitunza tu!
 
Kaka nyoni kipindi Cha rolling star anadai alikuwa na 16 tu,,,usishangae Redondo Kuna mtu anaitwa Boban hajafika 40 tu had Leo hii hata akina Salum Swed na said Swed Wana 39-41 tu,,,mecky &matola Wana 45 hii nchi ngumu Sana...
Usishangae kukuta haji manara kuwa mwaka sawa na Sunday manara
 
Kaseja ana 38,,saivi ni kocha wa makipa kagera sugar
Hahahaa huu umri sio kweli. Juma Kaseja alicheza misimu mitatu Moro United ikiwa ligi kuu kabla ya kusajiriwa Simba mwaka 2003. Je, ni kweli kwamba alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 15 mwaka 2000?
 
Hiyo list hapo juu wengi ni 45+.

HAPA KARIBU WOOOTE NI 45 PLUS +

SEMA WABONGO NI WAONGO SANA.
 

Said swedi scud ana miaka 54 nimewahi kumuandikia kadi yake ya Nhif amezaliwa 1968...labda kama ni Saidi Swedi mwingine sio huyo Scud aliyechezea Yanga....Matola mwenyewe wadogo zake ni Mababu.
 
Hahahaa huu umri sio kweli. Juma Kaseja alicheza misimu mitatu Moro United ikiwa ligi kuu kabla ya kusajiriwa Simba mwaka 2003. Je, ni kweli kwamba alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 15 mwaka 2000?
Kaseja ni mkubwa sana kiumri.....sema mwili mkavu ndio unambeba.
 
Kaseja ni mkubwa sana kiumri.....sema mwili mkavu ndio unambeba.
Wachezaji wengi wa ki-Afrika unapaswa kuongeza umri wa miaka usiopungua miaka 3 katika umri wa anaoweka kwenye nyaraka zake. Hii ndio kanuni ya siri wanayotumia vilabu vingi barani kwa sasa.

Wachezaji wenye umri mkubwa wanahitaji constant rotation na kupumzishwa zaidi ili ku-maintain fitness level yao. Shida inaanza anapokudanganya umri halafu nyie mnam-treat kama mchezaji mwenye umri wa kucheza mara kwa mara bila mapumziko makubwa (21-28).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…