huna lolote unona geree tu
mtazamo wa jf member na majina haya yamepata mention nyingi na quote nyingi na reply nyingi sana
1.mzizi mkavu
2.baba v
3.lara1
4.madamme x
5.kongosho
6.appoh
7figganigga
8.watu8
9.smile
10.heaven on earth
Namba 6 ni nyani ngabu au The Boss!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
1.mzizi mkavu
2.baba v
3.lara1
4.madamme x
5.kongosho
6.appoh
7figganigga
8.watu8
9.smile
10.heaven on earth
naah, i'm on a galaxy all by myself hommie. I'm way beyond the level of being 'mtu maarufu hapa jamiiforum(s)'.
mbona siwajui hapo wote au umaarufu wa kunusa harufu za choo au?
hawa ni wale wanaopokea posho mwisho wa mwezi sivyo!
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
kwani umeambiwa hapa jf kuna tuzo zinatolewa...
umaarufu gani.. Una hela wewe....au unapoteza tu mda..
Nyani Ngabu kundi lipi chief?
Nyani Ngabu yupo kwenye kundi la Nyani Ngabu tu! Hashei (derivative ya share) kundi na mtu hususan vi rookies vilivyojiunga juzi juzi tu hapa.
Nyani Ngabu yupo hapa tokea hata JF haijawa JF i.e. TEF (Tanzania Economic Forum)....
ujinga mtupu...
Sijajua vigezo ulivyotumia lakini nikiangaza jicho la tatu inaonysha ulizingatia MMU kama ulivyo iposti jukwaa husika, ila umesahau tu kichwa cha uzi kusema ni watu maarufu wa jf jukwaa la MMU