Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Wengi wanaomtetea ni mabingwa wa kubeti ingawa pia na wakongwe wanaopenda style yake. Ukienda nyuzi za kubeti wanamkubali sana na ana heshima kule kuliko hata wamiliki wa JF.
Kumbe! Sikuwa najua hili asee.
Kuna siku alileta uzi kuhusu kifo cha kibaka wa mitaa yao huko; kwanza uzi wote ulikuwa umeandikwa kwa herufi kubwa😀😀, halafu makosa ya kiuandishi yamejaa tele, nilipofika kwenye comments nakuta wadau wanampamba kuwa siku hizi anaandika vizuri. Sasa nikajiuliza hapo zamani alikuwa anaandikaje.!
Yote kwa yote, mabandiko ya Pdidy yanafurahisha sana, hasa hiyo broken swahili yake.😀😀
 
Umenisahau Boss Mapank hapa
 
Shida ya mshana ni mwanasiasa ,akiachana na usiasa ni jamaa alive vema sn,na anapenda watu wajue,Habibu Anga(The Bold) ni Best over the best,yeye amebase kutoa kisichofikiriwa na wengi .Big up
Aachane na kujiona ana uwezo kuliko mtu yeyote, kutafuta sifa kwa mabinti ili apate k za dezo na show off
 
Umensahau PRONDO kwenye magari na mshanajr kwenye ulimwengu wa giza
 
TOP THREE YANGU NI HII
1. MSHANA JR
2. LIFECODED
3. RAKIM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…