Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Humble african
Eiyer.
Da Vinci Jamaa mmoja Hivi design ya kina Wentworth Miller..
Huwa anaact Ana maisha ya shida ila kiundani Hana shida zozote shachat nae sana outside if.
Ila namkubali kwa mada zake.
Yaaani umempeleleza Hadi nje ya JF
 
Kuna yule jamaa alikuwa wa kwanza kuchangia kila uzi wa kila member hata kama ni usiku wa manane sijui alipotelea wapi, nilitegemea angekuwa kwenye orodha kwakuwa alichangia kila uzi wa kila member kila wakati
Hii ni content kweli
 
Humble african
Eiyer.
Da Vinci Jamaa mmoja Hivi design ya kina Wentworth Miller..
Huwa anaact Ana maisha ya shida ila kiundani Hana shida zozote shachat nae sana outside if.
Ila namkubali kwa mada zake.

Uache umalaya
 
Mkuu Kuna wengine tunafahamika kabisa kwenye content za maana hatuwezi kutajwa ila njoo kwenye nyuzi za wenye vibamia sikosi!,nyuzi za kuitwa majina mabaya Kama kiberenge nipo!,ubaharia wa nchi kavu nipo!..n.k you have to know where you are..

Mpk nimeandika kiingereza jua ni swala lenye touching haswa! Mkuu we ni Bata tu Kama mimi..[emoji23]
Hahahaha

Ngoja wakiweka dream soccer utatajwa[emoji23]
 
Kwa hiyo wale wengine ni waropokaji?

[emoji38][emoji38][emoji38]

Naona wameususia huu uzi
 
U
UR THREAD IS USELESS ......KAMA HUJAMUWEKA .........MSHANA JR ......HUYU NDO KINARA ....WENGINE WANAFUATA. futa hyo thread yako
Utakuwa umeshikwa makalio wewe, unaishi kwa kukariri
 
Kama wafuatao hawapo hiyo list Ni feki.
1. Kitoabu
2. Sky eclat
3. Bushmammy
4. Mamndenyi
5. LwandaMagere
6. Extrovert
7. Zero IQ
8. KIDUKU LILO
9. CHIZI MAARIFA
Boss kumbe na mimi nipo eeh, duh
 
Back
Top Bottom