Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Haaaaa Haaaaa 😂Ana nyuzi gani maridhawa zaidi ya ujinga tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa Haaaaa 😂Ana nyuzi gani maridhawa zaidi ya ujinga tu?
Sijawahi ona comment yyte ya huyo mselaKwenye category ya kugonga likes mkwepu jr anachukua Crown.
Sure ! Mshana Jr yuko vizuri sana na hutoa content mchanganyikoUmefanya kosa kubwa kutomuweka MSHANA.J.r mzee
Hilo li bia yetu lipo na jenzake linaitwa kawe alumni haya ni makada mara nyingi yanakuwa active wakati wa kampeni za kisiasa.....
KumbeKwa mantiki hiyo wajanja wanakufaidi
Mbona kama umewaweka akina nanii hapa wa upande mmoja!!!?
Zero IQ 😅😅 mzee wa matundaaKama wafuatao hawapo hiyo list Ni feki.
1. Kitoabu
2. Sky eclat
3. Bushmammy
4. Mamndenyi
5. LwandaMagere
6. Extrovert
7. Zero IQ
8. KIDUKU LILO
9. CHIZI MAARIFA
Mkuu unaelewa maana ya jina langu? Hayo ni majina ya Africa magharibi,kwa nchi kama Nigeria,Mali,ila hili langu asili yake ni Sierra Leon, maana yake ni"Head of circumcisers" au kwa kiswahili "ngariba mkuu"Kama jina lako lilivyo mkuu
Mbona kama umewaweka akina nanii hapa wa upande mmoja!!!?
umekuja kiimani!
Umenikumbusha hii commentMbona Deception simuoni kabisa
Na kuna wale wazee wa Flat Earth
karibu forum kwanza. Ukisema nyanja mbali mbali unatakiwa uitaje nyenja na watu mahiri kwenye nyanja hiiyoo cha kushangaza si jaziona ivo mfanoHawa ni baadhi ya member wenye Contents nyingi sana kwenye baadhi ya nyanja za maisha, kunaweza kukawa na wengine ila hawa ndio nime wang'amua kwa.
Vigezo nilivyotumia
1) KuSpecilze nyanja fulani
2) Kuandika Contents zilizo na information nyingi na details za kutosha.
3) Kubeba maono
Wyatt Mathewson
Huyu content za kibabe (Capitalist) zenye maono sana ukiisoma misimamo ya huyu inakujenga kuwa strong sana kwenye masuala ya uchumi na maisha.
Nafaka
Huyu ana Content zinazohitajika dunia ya sasa, kwenye Content za Online Money Making, Content za maisha ya kiuchumi na mambo ya pesa kiujumla contents nyingi.
GLOBAL CITIZEN
Huyu ndio Father WA Online Business, ana contents zenye ujazo Sana na anaamini kama upo good kwenye kitu fulani usifanye for free.
C.T.U
Huyu Contents zinazohusu Startup, Online Software, Kampuni zenye mlengwa wa Silicon Valley yupo vizuri sana, yupo vizuri kwenye Calculation za namba Za projects.
Mwl.RCT
Moja katika watu wanaoheshimika sana, kwenye nyanja ya online shopping na uwanda mzima wa online Business.
Chief-Mkwawa
When it come to technology mambo ya hardware na software simu na computer huyu mwisho, anaelezea simu vikarabwasha mpaka unajiona mweupe, He is Search Engine at that area. Tukizungumzia ujazo wa details huu mfano mahsusi.
T14 Armata
Huyu haja-base kuanzisha nyuzi contents zake utaziona kwenye reply zake na content nyingi sana za masuala kijeshi, Biashara na mtu aliye Update sana na kinachoendelea Duniani.
Da'Vinci
Huyu ni konyo sijui anaishi vipi kama Content huyu bwana ni maktaba, anasoma sana huyu jamaa.
Habibu B. Anga
Huyu ndio Father of Content jukwaani.
Hawa wanaeleza kitu in details, numbers na mifano ukifuatilia nyuzi aunt reply zao zimeshiba contents.
Wengine nimewasaau nitawaweka.
Wakikuuliza maswali yao utaweza kujajibu sio unawatukana tuUmenikumbusha hii comment
"HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers" By Philipo D. Ruzige
Sijasoma sana maandika yake, Specialize yake masuala ya Giza naona uvivu kupitia kitu kingine yupo General kuandika vitu tofautitofauti Randomly.
Ni sehemu yaHii ni content kweli