Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Pdidy ana mwandiko mbaya sana aisee, cha kushangaza ukimkosoa wadau wanakujia juu eti kwa nini unakosoa mwandiko wa Pdidy[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Labda ni taasisi kama jiwe
 
Sawa mkuu ila apo ukuangalia kila Jukwaa nenda Siasa utaona mengi
 
😂😂 Mkuu nakuomba fatilia wengine kwangu hutaambulia kitu kwakweli! Labda Kama unamuda wa kupoteza hapo sawa lkn kwa content za muhimu hapa umekosea!..
Eti ananiacha mimi...duuh
 
Kuna yule jamaa alikuwa wa kwanza kuchangia kila uzi wa kila member hata kama ni usiku wa manane sijui alipotelea wapi, nilitegemea angekuwa kwenye orodha kwakuwa alichangia kila uzi wa kila member kila wakati
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
 
Mkuu unaelewa maana ya jina langu? Hayo ni majina ya Africa magharibi,kwa nchi kama Nigeria,Mali,ila hili langu asili yake ni Sierra Leon, maana yake ni"Head of circumcisers" au kwa kiswahili "ngariba mkuu"
Na kulikuwa na ID yenye jina Ngariba mkuu seems ulipigwa ban ukaregister kwa tafsiri hiyo ya ki west africa
 
Mleta mada unamjua kweli Humble African ?
 
Rakism na mshana Ni majembe hasa japo huwa yanagongana[emoji12]
 
Kiasi tu ndugu yangu. Nakuwa na vijihela kidogo hivyo hivyo kutokana na kutozoea maisha ya shida. Naenda mapumzikoni siku 5 Canada. Kidogo nipate nafasi ya kusalimia ndugu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Nakubali Boss ya Mboka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kila la kheri nakutakia safari njema
 
mbona Smart911 amesahaulika ?huyu mada nzito ya ushahuri ikianza anakuwa wakwanza kucoment alafu anasema "ngoja wenyewe waje"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…