Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf

1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari

Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii

Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli

Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi

Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]

Robert Heriel Mtibeli ....mwamba sana huyu mwaka huu.....naweza mwita philosopher king wa jf .....mwamba anatoa madini mwanzo mwisho ...anaifanya jf kuwa kama Ile ya zamani kabla haija haribiwa na kina Mshangazi [emoji23][emoji23]

min -me ....jamaa katajwa sana adi nmeona aibu [emoji23][emoji23] name quote Poor Brain kwanza ni mtu wa heshima sana kiufupi ni mtu na heshima zake...
Japo ni mchambuzi wa nyuzi za maadili ila anapenda watoto.
min -me yuko vizuri kwny kuongelea vijana na harakati za maisha kwa njia ya unyenyekevu hasa kwny comments zake sema ana mahaba mno na na watoto wa 2000[emoji23][emoji23][emoji23]

To yeye mbeya girl popote ulipo ...mauwa Yako yakufikie Kwa ukubwa ,....kuwa miongoni mwa influencer wa jf mwaka huu

NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)
JamiiForums1015291836.jpg

Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
 
Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf

1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari

Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii

Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli

@ Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi

Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]

NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955
Research imeshiba, 99% accurate.
 
Back
Top Bottom