Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf

1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari

Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii


Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli

Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi

Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]

NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955

Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
Siku zote anae toa tuzo na kuandaa tuzo hatakiwi kuwa yeye ndiye mshindi wa hiyo tuzo au kufungamana kivyovyote na wanao andaa ushindi wa tuzo. Hivyo namba moja ni batili
 
Back
Top Bottom