Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha ajihondomole kwanza, utamu mpaka kisogoni.Akimaliza akuje weekend imeanza
Jina lako kutokea kwenye orodha kama mpandisha uzi kunaleta shaka kama sii mchongo.Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings
Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf
1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari
Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii
Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli
Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi
Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]
Robert Heriel Mtibeli ....mwamba sana huyu mwaka huu.....naweza mwita philosopher king wa jf .....mwamba anatoa madini mwanzo mwisho ...anaifanya jf kuwa kama Ile ya zamani kabla haija haribiwa na kina Mshangazi [emoji23][emoji23]
To yeye mbeya girl popote ulipo ...mauwa Yako yakufikie Kwa ukubwa ,....kuwa miongoni mwa influencer wa jf mwaka huu
NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955
Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
🤣🤣🤣Una balaa kweliJapo Kuna zingine zilinijeruhi[emoji23][emoji23]
Wivuuuuu mama......Siku zote anae toa tuzo na kuandaa tuzo hatakiwi kuwa yeye ndiye mshindi wa hiyo tuzo au kufungamana kivyovyote na wanao andaa ushindi wa tuzo. Hivyo namba moja ni batili
Bantu Lady , ana hekima na busara sana huyu dada.watu wenye mchango mkubwa hapa jf
Mi ntachangia harusi mkuu 😂Ahaa hapana mkuu...una heshima yako
Amejiunga lini jf mkuuNimeshangaa kuona gwiji kama Vishu Mtata nae hayupo katika list.
Huyu Labani og ndizi na parachichi za tukuyu zinamharibu
Hahaha sasa mimi nina mchango gani mkuu wangu🤣🤣
Haha, Ndo nshakuweka kwenye list.Hahaha sasa mimi nina mchango gani mkuu wangu🤣🤣
au sioHii list bila mimi ni batili.
Bila Chief-Mkwawa ,Mshana Jr na Natafuta Ajira hiyo listi ni batili[emoji56][/QUOTE @Chief-Mkwawa ni legend wa technology forum