Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf

1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari

Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii

Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli

Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi

Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]

Robert Heriel Mtibeli ....mwamba sana huyu mwaka huu.....naweza mwita philosopher king wa jf .....mwamba anatoa madini mwanzo mwisho ...anaifanya jf kuwa kama Ile ya zamani kabla haija haribiwa na kina Mshangazi [emoji23][emoji23]

To yeye mbeya girl popote ulipo ...mauwa Yako yakufikie Kwa ukubwa ,....kuwa miongoni mwa influencer wa jf mwaka huu

NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955

Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
🙄🙄🙄 Mbona mimi mzee wa CCM NI MA💩💩💩 sipo 🙄🙄🙄
 
Sema mi nna uafadhali kidogo.,.... maumivu unayoyapitia ww Kwa Simba ....ni makali mno[emoji23][emoji23]
Usiusemee moyo dogo...kwanza Simba mbona raha tuu maumivu gani sasa unayoyasemea wewe...mpira ndivyo ulivyo au unataka tuwe kileleni wote..hebu niache kwanza uendelee na utafiti wako....utopolo wa head..
By the way asante kwa kunikumbuka na ku ni love...😊😊😊😊😊😊
 
By the way asante kwa kunikumbuka na ku ni love...[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Tulikubaliana utanipa mdg ako.,...

So lazima nkukumbuke always [emoji23]
 
Unatukana state
Kwani mpumbavu kuitwa mpumbavu ni tusi kama ni hivyo basi hata huyo mungu wenu mnaye muamini utukana siku zote... trump alisema africa ni shit hole ...nyerere alisema kuna wanasiasa malaya malaya kina saa mia moja
Mwingine kasema watanzania ni mambwa tu mnambwekea ...sasa kipi ni kipi .....Mungu wa wakristo kasema ni mpumbavu yeye asemaye hakuna mungu.🙄🙄🙄
 
Bantu Lady , ana hekima na busara sana huyu dada.

Nifah , huyu sasa hivi yuko kwenye penzi zito, hashauriki.

Cute Wife , anajitahidi sana kwenye uandishi!

Evelyn Salt , huyu ana majibu fulani ya kisela a.k.a makavu live!

To yeye , huyu anapenda sana yale mambo yetu!

Aaliyyah , huyu anapenda sana kupika!

Shadeeya , hana tofauti sana na To yeye

Lamomy , huyu kama To yeye

Missy Gf , huyu naye kama To yeye

Nb: Wote pokeeni maua yenu!
Aaaww Ahsante sana enzo1988 🥰 Barikiwa sana. Sorry kwa hili swali, wewe ni me or ke?
Pokea pia maua yako, huna baya.
 
Kwani mpumbavu kuitwa mpumbavu ni tusi kama ni hivyo basi hata huyo mungu wenu mnaye muamini utukana siku zote... trump alisema africa ni shit hole ...nyerere alisema kuna wanasiasa malaya malaya kina saa mia moja
Mwingine kasema watanzania ni mambwa tu mnambwekea ...sasa kipi ni kipi .....Mungu wa wakristo kasema ni mpumbavu yeye asemaye hakuna mungu.[emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji125][emoji125]
 
Usiusemee moyo dogo...kwanza Simba mbona raha tuu maumivu gani sasa unayoyasemea wewe...mpira ndivyo ulivyo au unataka tuwe kileleni wote..hebu niache kwanza uendelee na utafiti wako....utopolo wa head..
By the way asante kwa kunikumbuka na ku ni love...😊😊😊😊😊😊
Hawa madogo wa uto siku litim lao likikata upepo watahama humu🤣
 
Back
Top Bottom