Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Dah! Huyo mwamba Tate Mkuu ni mtu na nusu!! I wish ningemuona alipokuwa kijana ili anihamishie busara zake zisizo na kipimo!!

Nawaza tu huyu Mzee angekuwa ni kiongozi mkubwa kwenye hii nchi, mpaka muda huu nahisi tungekuwa ni Donor Country!

Halafu nilisahau!! Huyu mwamba Labani og, ni Jeshi kubwa kabisa duniani! Kwanza siyo mtu muoga! Na anaweza kuanzisha uzi wake wa kuwakera mashabiki wote wa Simba! Na wakijaribu tu kupambana naye, ndani ya muda mfupi tu unamkuta amewagaragaza wote kwenye matope!
Mpe bichwa mzee wa Ban...
 
Wakuu kuna huyu kijana mmoja wanamuita min -me anastahili sana hastahili kuwepo kwenye list

kwanza ni mtu wa heshima sana kiufupi ni mtu na heshima zake...
Japo ni mchambuzi wa nyuzi za maadili ila anapenda watoto.

min -me yuko vizuri kwny kuongelea vijana na harakati za maisha kwa njia ya unyenyekevu hasa kwny comments zake sema ana mahaba mno na na watoto wa 2000😂😂😂

min -me ni mchangiaji mzuri hana bias..yani in short ni mzungu..ila ni mtu wa totozi sana lakini hajataka mapenzi ya utoto yamtoe kweny mstari...

Kwa hapa inatosha kama takua nimesahau kuhusu min -me naomba mnikumbe mi ni binadamu kusahau kawaida wabillah taufiq
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom