Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

1 BICHWA KOMWE - ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa vinye....., kwenye ujinga ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari
Ewaaaaah 😂😂😂 hatimaye nimeonekana.

Napokea yote kwa jina la Yesu.
 
Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf

1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari

Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii


Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli

Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi

Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]

Robert Heriel Mtibeli ....mwamba sana huyu mwaka huu.....naweza mwita philosopher king wa jf .....mwamba anatoa madini mwanzo mwisho ...anaifanya jf kuwa kama Ile ya zamani kabla haija haribiwa na kina Mshangazi [emoji23][emoji23]

To yeye mbeya girl popote ulipo ...mauwa Yako yakufikie Kwa ukubwa ,....kuwa miongoni mwa influencer wa jf mwaka huu

NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955

Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
Dah! Huyo mwamba Tate Mkuu ni mtu na nusu!! I wish ningemuona alipokuwa kijana ili anihamishie busara zake zisizo na kipimo!!

Nawaza tu huyu Mzee angekuwa ni kiongozi mkubwa kwenye hii nchi, mpaka muda huu nahisi tungekuwa ni Donor Country!

Halafu nilisahau!! Huyu mwamba Labani og, ni Jeshi kubwa kabisa duniani! Kwanza siyo mtu muoga! Na anaweza kuanzisha uzi wake wa kuwakera mashabiki wote wa Simba! Na wakijaribu tu kupambana naye, ndani ya muda mfupi tu unamkuta amewagaragaza wote kwenye matope!
 
Back
Top Bottom