Mpe bichwa mzee wa Ban...Dah! Huyo mwamba Tate Mkuu ni mtu na nusu!! I wish ningemuona alipokuwa kijana ili anihamishie busara zake zisizo na kipimo!!
Nawaza tu huyu Mzee angekuwa ni kiongozi mkubwa kwenye hii nchi, mpaka muda huu nahisi tungekuwa ni Donor Country!
Halafu nilisahau!! Huyu mwamba Labani og, ni Jeshi kubwa kabisa duniani! Kwanza siyo mtu muoga! Na anaweza kuanzisha uzi wake wa kuwakera mashabiki wote wa Simba! Na wakijaribu tu kupambana naye, ndani ya muda mfupi tu unamkuta amewagaragaza wote kwenye matope!
Basi akina Laban wapo wengi.Yaani huu unafikiri unakamilika vipi bila kipara kipya watu wote wameshangaa!
Wewe hujawahi kuwa na content zaidi ya pumba na kuwa chawa wa Mwendazake tuu π πResearch imeshiba, 99% accurate.
rara reree unaitwa.Huyo si ndo anatoaga dislikes nyingi
Anavopenda sasaMs R yeye ni nyuzi za maswala ya kimasihara tu ndio utampataπ€£
Hapana hatuwezi fika huko,ila binafsi nimtambue "rara rerere"πIsiwe bias lkn
Nani mwenye pumba kati yake na wewe?Wewe hujawahi kuwa na content zaidi ya pumba na kuwa chawa wa Mwendazake tuu π π
Tena ban anaomba mwenyewe.Mpe bichwa mzee wa Ban...
Kwani nimemueleza nani Hadi unaniuliza mara 2?Nani mwenye pumba kati yake na wewe?
Kupitia maandishi utanigundua coz una hiyo akili! Nimekuweka upande wa KE, vipi nimepatia?? Kama nimekosea utaniwia radhi!Sorry kwa hili swali, wewe ni me or ke?
ExtrovertKwani nimemueleza nani Hadi unaniuliza mara 2?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wakuu kuna huyu kijana mmoja wanamuita min -me anastahili sana hastahili kuwepo kwenye list
kwanza ni mtu wa heshima sana kiufupi ni mtu na heshima zake...
Japo ni mchambuzi wa nyuzi za maadili ila anapenda watoto.
min -me yuko vizuri kwny kuongelea vijana na harakati za maisha kwa njia ya unyenyekevu hasa kwny comments zake sema ana mahaba mno na na watoto wa 2000πππ
min -me ni mchangiaji mzuri hana bias..yani in short ni mzungu..ila ni mtu wa totozi sana lakini hajataka mapenzi ya utoto yamtoe kweny mstari...
Kwa hapa inatosha kama takua nimesahau kuhusu min -me naomba mnikumbe mi ni binadamu kusahau kawaida wabillah taufiq
Huyo ni Mzee pumbaExtrovert
shindikana umecheka nini?Atoto ni mkorofi sana humu π