Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa JF mwaka 2024

1 @Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari
Kuweka jina lako mwenyewe ni sawa na kujitambulisha mbela za watu kwa kujiita Mr. Fulani.
 
Dah! Huyo mwamba Tate Mkuu ni mtu na nusu!! I wish ningemuona alipokuwa kijana ili anihamishie busara zake zisizo na kipimo!!

Nawaza tu huyu Mzee angekuwa ni kiongozi mkubwa kwenye hii nchi, mpaka muda huu nahisi tungekuwa ni Donor Country!

Halafu nilisahau!! Huyu mwamba Labani og, ni Jeshi kubwa kabisa duniani! Kwanza siyo mtu muoga! Na anaweza kuanzisha uzi wake wa kuwakera mashabiki wote wa Simba! Na wakijaribu tu kupambana naye, ndani ya muda mfupi tu unamkuta amewagaragaza wote kwenye matope!
Pamoja mkuu....[emoji23][emoji23]bado hawajasema
 
Back
Top Bottom