Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Niangusage tu sambi ni sakoo🤣 - aliskika baharia mmojaMasikhara gani mi niko serious, au ndo unataka nikuandikie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niangusage tu sambi ni sakoo🤣 - aliskika baharia mmojaMasikhara gani mi niko serious, au ndo unataka nikuandikie?
Paschal MayalaWakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings
Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf
1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari
Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii
Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli
Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi
Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]
Robert Heriel Mtibeli ....mwamba sana huyu mwaka huu.....naweza mwita philosopher king wa jf .....mwamba anatoa madini mwanzo mwisho ...anaifanya jf kuwa kama Ile ya zamani kabla haija haribiwa na kina Mshangazi [emoji23][emoji23]
min -me ....jamaa katajwa sana adi nmeona aibu [emoji23][emoji23] name quote Poor Brain kwanza ni mtu wa heshima sana kiufupi ni mtu na heshima zake...
Japo ni mchambuzi wa nyuzi za maadili ila anapenda watoto.
min -me yuko vizuri kwny kuongelea vijana na harakati za maisha kwa njia ya unyenyekevu hasa kwny comments zake sema ana mahaba mno na na watoto wa 2000[emoji23][emoji23][emoji23]
To yeye mbeya girl popote ulipo ...mauwa Yako yakufikie Kwa ukubwa ,....kuwa miongoni mwa influencer wa jf mwaka huu
NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955
Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
Wanaume wenye ID za kike walichachamaa kutoka kila kona ya JF shindano likafia pale pale
Vidole vimekufa ganzi,, wachawi wabayaNiangusage tu sambi ni sakoo🤣 - aliskika baharia mmoja
Upi huo?.Mshana jr ....saiz upepo umeanza kukata
Japo sijaanza muda mrefu kuandika maudhui ila list ijayo inabidi niwepo au katika wale wa nyongeza nkawepo.Wakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings
Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf
1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari
Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii
Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli
Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi
Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]
Robert Heriel Mtibeli ....mwamba sana huyu mwaka huu.....naweza mwita philosopher king wa jf .....mwamba anatoa madini mwanzo mwisho ...anaifanya jf kuwa kama Ile ya zamani kabla haija haribiwa na kina Mshangazi [emoji23][emoji23]
min -me ....jamaa katajwa sana adi nmeona aibu [emoji23][emoji23] name quote Poor Brain kwanza ni mtu wa heshima sana kiufupi ni mtu na heshima zake...
Japo ni mchambuzi wa nyuzi za maadili ila anapenda watoto.
min -me yuko vizuri kwny kuongelea vijana na harakati za maisha kwa njia ya unyenyekevu hasa kwny comments zake sema ana mahaba mno na na watoto wa 2000[emoji23][emoji23][emoji23]
To yeye mbeya girl popote ulipo ...mauwa Yako yakufikie Kwa ukubwa ,....kuwa miongoni mwa influencer wa jf mwaka huu
NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955
Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
Ndo Mzee wa dislikes auBila aibu ukathubutu kumwacha raraa reree
Mwamba hana baya ni mgawa Like jf expert member aise na makasiriko kabisaBila aibu ukathubutu kumwacha raraa reree
Ahahaha sawaHeshimu Chama dora
✅✅Hii list bila mimi ni batili.