Hawa ndio vijana wamenivutia katika miongo miwili hii tuliyonayo

Hawa ndio vijana wamenivutia katika miongo miwili hii tuliyonayo

JIDE




Namkubali sana huyu yaani ye anajua kusimamia kipaji chake hana shobo na siasa pia hafanyi biashara za kuigaiga. Yaani kiufupi ye ni herself.
Nilimsahau mkuu,tena kingine ana nidhamu huyu dada
 
Lissu ana miaka 39 tu, uso wake umekuwa mgumu vile kwa sababu ya kushikwashikwa makalio na wazungu tu.
Kaka uchaguzi umeisha,tumerudi katika maisha yetu halisi kama watanzania na Lisu mtanzania mwenzetu.Yote alofanya ndio siasa
 
Back
Top Bottom