Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,382
Mimi siyo Lissu
Mimi siyo Lissu
We lazima ni chakula cha mtu yaani unakanyagwaaaa backbenchaMimi siyo Lissu
Narudia, mi si LissuWe lazima ni chakula cha mtu yaani unakanyagwaaaa backbencha
Ni mwanahabari wa upande mmoja wa shillng tu tukizungumzia Kwenye Report za Kisiasa.Millard Ayo
Huyu anaitendea vyema tasnia ya habari kama mwandishi wa kujitegemea.
No ni 18 to 35 bwanaaKuanzia 45 kuja chini katika kipindi tajwa hapo juu mkuu
No yuko sahihi maana ninyi mko bize kuwafagilia wenzenu huku mkisahau vipaji vyenu wenyewe, ambalo ni jambo la kipuuzi. Unakuta mko kwenye kikao mnaambiwa pendekezeni majina 10 ya vijana wa kuingia kwenye kamati fulani, badala ya mtu kusimama na kusema najipendekeza mwenyewe wote wanaishia kupendekeza wengine, huu ni ulofa.Mkuu lazima tukubali kuna wengine wana bahati ya kuvuma
Sina uhakika kama swali lililenga kwenye mada au mvuto gani,manake huchelewagi wewe!
Acha kupendekeza vitu vya ajabu ajabuMillard Ayo
Huyu anaitendea vyema tasnia ya habari kama mwandishi wa kujitegemea.
Ni maoni yangu mkuu. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Maybe kwako unamuona wa ajabu but kwangu ninamuona kama mmoja ya wapambanaji.Acha kupendekeza vitu vya ajabu ajabu
Angesimama kama mtoa habari asiyefungamana na upande ule angekuwa anafanya poa zaidi.Ni mwanahabari wa upande mmoja wa shillng tu tukizungumzia Kwenye Report za Kisiasa.
60
Mkuu upo sahihi kwa upande fulani,lakini nimetumia neno 'kuvutiwa' .Inazewezekana na mimi nimefanya vizuri katika sekta yangu lakini hainizuii kuona ubora wa wengine.No yuko sahihi maana ninyi mko bize kuwafagilia wenzenu huku mkisahau vipaji vyenu wenyewe, ambalo ni jambo la kipuuzi. Unakuta mko kwenye kikao mnaambiwa pendekezeni majina 10 ya vijana wa kuingia kwenye kamati fulani, badala ya mtu kusimama na kusema najipendekeza mwenyewe wote wanaishia kupendekeza wengine, huu ni ulofa.
Asante mkuu kwa kunirekebisha,kiini cha swali hili ni pale nilipomweka LisuNo ni 18 to 35 bwanaa
Asante mkuu kwa hiyo list iko vizuri.1.Sugu..kutoka kuonekana muhuni wa muziki wa kufoka hadi kuisimamisha bongo fleva kwenye ramani na vijana sasa wanapiga hela kama ajira rasmi inayotambulika.Pia kutoka ktk bongo fleva huku zile elements za uhuni zikiwa bado hazijaisha na kuuvaa ujasiri wa kugombea ubunge na kuhamasisha vijana wengine hasa wasanii kama yeye kuingia mjengoni..yaan huyu kwangu mm ni mpambanaji anaejiamini bila kujali mtazamo wa watu wengine kuhusu yeye..
2.Diamond Platnams..huyu kijana ni fighter haswa na ni ROLUMODO kwa sisi vijana wengi mana mwanzo wake unafahamika,upambanaji wake unaonekana, na mafanikio yake yana reflect kile anachokifanya..ameubadili mziki wa bongo fleva kutoka kwenye umaarufu bila kipato hadi biashara kubwa inayolipa..
3.January Makamba..huyu kwangu ni Presidential Material..Hekima,Busara,Maarifa,Utulivu,Heshima,Nidhamu pamoja na Ustaarabu hizi ni miongoni mwa sifa chache alizonazo mwanasiasa huyu kijana ndani ya CCM japo mm sio mwanachama wala mpenzi wa CCM..kama taifa jukumu letu kuvilea vipaji hivi ili vije kuwa msaada mbeleni...
4.Zitto Zuberi Kabwe..hiki kichwa kina Talanta ya Siasa,huyu ni mwanasiasa hasa..hakuna mtanzania makini asiejua mchango wake ktk maendeleo ya nchi yetu hasa ktk ujengaji wa hoja za mashiko na ukosoaji wa kistaarabu..ni Kielelezo cha uhamasishaji vijana kuvutiwa ktk siasa...
5.Mbwana Ally Samatta..Miongoni mwa Vipaji tulivyojivunia watanzania ni kuwa na kijana huyu ktk taifa letu,Juhudi zake,Njaa zake za mafanikio,pamoja na nidhamu ni mfano bora kwa vijana wengine wa kitanzania ktk medani za ulimwengu wa soka,yeye na mwenzake Simon Msuva mwenyeziMungu awabariki wafike ndoto zao ili wazidi kujenga hamasa zaidi kwa vijana wengine waongeze juhudi wawe kama wao..
6.Millard Ayo...Very appreciate you brother.....
7.MwanaFA...Very appreciate you brother....
8.Ali Kiba..I appreciate you brother, but you're not like that..you can do more than that,jicho langu LA tatu nikikuangalia nakuona unatumia asilimia nusu ya ubora wako japo mafanikio yako pia si ya kubeza...
9.Konde boy..Keep keep keep fighting brother...
10.Mimi mwenyewe Binafsi...Kiukweli najikubali sana mwenyewe..Nakubali harakati zangu binafsi ktk kujitafutia kipato ili niweze kuwa MTU bora zaidi ya sasa japo nimekuwa nikikumbana na vikwazo vingi vya wazi vya makusudi kabisa ktk juhudi zangu za kunifikisha kule ninakotaka kwenda..ila pamoja na hayo bado nimekuwa MTU imara nisiekubali kurudishwa nyuma kirahisi na kunifanya niendelee kupambana bila kuchoka wala kukata tamaa.naamini nitafika kule nitakako kufika hata kama itachukua muda..
Huo ni mtazamo wangu binafsi
Asante
Daaah!? wakuu vumiliananeni basi chonde chonde!We lazima ni chakula cha mtu yaani unakanyagwaaaa backbencha
Mkuu nimemtoa,wajumbe wamekuja juuHivi lisu bado ni kijana jamani?
Umewasahau vijana wafuatao kwa kukubalika na vijana wa kike na kisha kuungana nao:Habari wanajukwaa!
Leo nimeona niwalete kwenu vijana wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wametoa mchango katika taifa letu.
Kwanza niwe wazi katika siasa mimi ni mshabiki wa CCM,na kisoka nipo Msimbazi(simba)
Katika kipindi hiki cha miongo miwili ninakiri kuna vijana wengi tumejitahidi kulitetea/kulijenga taifa letu katika moyo wa kizalendo ila hawa wenzetu wamebahatika kuonekana zaidi
(1) ZITTO KABWE
Hakuna asiyejua mchango wa huyu kijana akiwa pale chadema chini ya uongozi wa Mbowe na Slaa
(2) NAPE NNAUYE
Huyu naye tunajua misimamo yake,nadhani tuna kumbukumbu nzuri kipindi kile cha kujivua gamba
(3) MBWANA SAMATA
Kwa wapenzi wa michezo tunajua nini kijana wetu anakifanya
(4) HALIMA MDEE
Ni mwanamke ambaye ameonyesha ujasiri mkubwa sana katika siasa za upinzani hadi kupelekea baadhi ya wanaume kuogopa kupeleka posa kwa kudhani maisha yake kisiasa ndio atakayoleta ndani
(5) JANUARY MAKAMBA
Huyu naye amejitahidi hasa katika siasa zisizo na mipasho
(6) TUNDU LISSU
Ni mwanasheria lakini bingwa wa siasa za amsha amsha
(7) HUMPHREY POLEPOLE
Nadhani kila mtu alimsikia huyu kijana hasa katika rasimu ya katiba ya mzee Warioba
(8) PAUL MAKONDA
Najua wapo watakaobeza hapa lakini kiutendaji huyu kijana amejitahidi
(9) JOHN MNYIKA
Kama ilivyo kwa Zito,Mdee Mnyika.Vijana hawa wamesaidia sana kuwaamsha ccm ambao walikuwa usingizini.Nakumbuka kipindi nipo Mtwara kipindi cha bunge wakisimama hawa vijana watu walikuwa wanashangilia kama limeingia goli langoni kwa yanga
(10) NASSIB ABDUL
Huyu dunia inamtambua kama DIAMOND PLATNUM,licha ya tabia zake za kifuska lakini ameutendea haki mziki
(11) ROSE MHANDO
Huyu aliitendea haki miziki ya injili
(12) HAJI MANARA
Huyu ni msema hovyo wa klabu ya simba.Ameleta hamasa kubwa sana kwa mashabiki hadi tunajikuta tanagombania kujaza uwanja
(13) JERRY MURO
Kama ilivyo kwa Haji,huyu naye alikuwa msema hovyo wa upande wa yanga na ni watani wa jadi
Nadhani tunamkumbuka Muro na kipindi chake cha 'Usiku wa habari' pale TBC
(15) NANCY SUMARY
Alishindana miss world na kututoa kimasomaso,na katika mamiss huyu namzimikia sema mazingira hayaniruhusu kumfikia
(16) MOHAMED DEWJI
Huyu ni kijana ametutoa kimasomaso katika utajiri
(17) VICENT KIGOSI
Anatambulika kama RAY.
Mchango wake tumeuona katika filamu
Orodha hii nimezingatia walio hai tu
NB: Hizo namba hazimaanishi kwamba nimewapa ubora kwa namba,hapana ni mtiririko tu
NAOMBA ieleweke huu ni mtazamo wangu mimi mtimawachi na chanzo ni mi mwenyewe
KARIBUNI